Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Mkuu leo nimebadili geat mount lkn bado mshindo upo palepale. Mshindo unatokea pale napotoka P kwenda R au R kwenda D au D kurudi R. Ila kutoka D au R kwenda P hakuna mshindo.

Mafundi wote waliopo hapa kila mtu anakisia, hakuna mwenye majibu.

Mwingine anasema nibadiki gear box niweke mpya, mwingine anasema drive shaft, mwingine anasema sijui diff imekufa.

Yani inanichanganya sana
Tatizo lako ni kwenye transmission tu, siyo tatizo la backlash kabisa; fundi alitakiwa akague hizo engine mounting kabla ya kuzibadilisha. Kwa vile siwezi kuikagua mwenyewe, ngoja nikuorodheshee list ya vitu vingine vinavyoweza kusababisha tatizo hilo.
(1) Je walipobadili ATF walipima vizuri bila kuweka zaidi au pungufu? na je walihakikisha kuwa hawaku-empty Torque Converter? Na vile vile je walibadili ile transmission oil filter pia?
(2) Je gari yako ina breki nzuri tu, na unapobadili gia kutoka P huwa umekanyaga breki kikamilifu? Kuna magari ambayo yametengezwa kuwa unapobadili gear kutoka au kuingia P lazima uwe umekamata breki kikamilifu
(3) Je gari ina silence nzuri? kama gari ina silence ya juu sana; zaidi ya 1500 rpm, transmission huhama kwa shida na unaweza kusikia inagonga hivyo
(4) vitu vingine nikikumbuka nitakuletea, lakini hivyo ndivyo vikubwa vinavyokuja haraka haraka kichwani mwangu.
 
Mkuu nakuonea huruma kidogo kwasababu ukisum up cost uliotumia mpaka sasa utakuwa umetumia around au above 250k roughly..

Usihangaike tena. Tafuta transmission nyingine (usinunue used kwa wachinjaji wa TZ).nunua used from japan au ukikosa basi dubai wapo wengi wanauza mjini. Bei yake maximum ni 400k na HAKIKISHA inakuja na vikombe vyake intact..fundi atakufungia hata kwa 20k (ungekua na ujuzi ungefunga mwenyewe maana ni rahisi mnooo) nunua ATF mpya weka.

Utakua umesolve completely. Ila usidiscard hii trans utakayo itoa ihifadhi ( naweza nikainunua utani PM).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nifanye hivyo mkuu
 
Mkuu nimecheki be forward bei ni kuanzia usd 300, hapo hujasafirisha, kodi tra
 
Mkuu nakuonea huruma kidogo kwasababu ukisum up cost uliotumia mpaka sasa utakuwa umetumia around au above 250k roughly..

Usihangaike tena. Tafuta transmission nyingine (usinunue used kwa wachinjaji wa TZ).nunua used from japan au ukikosa basi dubai wapo wengi wanauza mjini. Bei yake maximum ni 400k na HAKIKISHA inakuja na vikombe vyake intact..fundi atakufungia hata kwa 20k (ungekua na ujuzi ungefunga mwenyewe maana ni rahisi mnooo) nunua ATF mpya weka.

Utakua umesolve completely. Ila usidiscard hii trans utakayo itoa ihifadhi ( naweza nikainunua utani PM).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann hiyo gari asiipeleke pale Toyota kwa mafundi wao ili waikague kabla ya kununua hiyo transmission nyingine tena used? N kwann anunue tena used badala ya mpya ili umalizane na hilo tatizo? Kitu used ina maana kilishatumika na kikapata shida ndio maana kikauzwa utakiweka halafu kitaanzisha tatizo lingine? Gari ya m 12 kwann ushindwe kununua genuine transmission ambayo ni mpya kwa m 1.5 tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako ni kwenye transmission tu, siyo tatizo la backlash kabisa; fundi alitakiwa akague hizo engine mounting kabla ya kuzibadilisha. Kwa vile siwezi kuikagua mwenyewe, ngoja nikuorodheshee list ya vitu vingine vinavyoweza kusababisha tatizo hilo.
(1) Je walipobadili ATF walipima vizuri bila kuweka zaidi au pungufu? na je walihakikisha kuwa hawaku-empty Torque Converter? Na vile vile je walibadili ile transmission oil filter pia?
(2) Je gari yako ina breki nzuri tu, na unapobadili gia kutoka P huwa umekanyaga breki kikamilifu? Kuna magari ambayo yametengezwa kuwa unapobadili gear kutoka au kuingia P lazima uwe umekamata breki kikamilifu
(3) Je gari ina silence nzuri? kama gari ina silence ya juu sana; zaidi ya 1500 rpm, transmission huhama kwa shida na unaweza kusikia inagonga hivyo
(4) vitu vingine nikikumbuka nitakuletea, lakini hivyo ndivyo vikubwa vinavyokuja haraka haraka kichwani mwangu.

1. Tulibadili transmission fluid na tumepima ipo sawa. Ist wanasema haina transmission filter

2. Breki ni nzuri mkuu, hazina tatizo lolote.

3. Silencer rpm ipo kwenye 0.5-0.8 mkuu

Wakati nimeweka silencer nikibadili p-R au R to D hata injini inatingishika.
Nipo dodoma naona huku mafundi wengi vilaza. Ngoja niende Dar nikacheki mafundi wazuri
 
Matatizo ya gari lako yanachanganya sana, na kweli nakupa pole kwa kuhangaika. Natamani ningeweza kukagulia gari lako onsite kuliko haya ya kuwashauriana online bila kuangalia kitu chenyewe. Kama ni kweli kuwa ukiweka gear injini inatikisika, basi hapo tena ndipo linapokuja swali la engine mounts tena ingawa huko nyuma nilikuwa nimeshaliondoa; hata hivyo itakuwa ni mapema sana kwa gari lenye km55,000 tu kufa engine mounts kiasi hicho; sina wasi wasi sana na engine mounts.

Iwapo ukishaaanza safari, gari linatembea vizuri tu bila backlasha yoyote, yaani unaweza kanyaga breki kupunguza mwendo na kukanyaga mafuta kuongeza mwendo bila huo mlio, maana yake mlio hautokani na backlash ya nje kama hilo la engine mounts au kitu kingine chocote cha nje bali unatoka ndani ya transmission yenyewe.

Nikirudi kwenye swali lako la awali kuwa ukifika spidi ya km80kph gari inashindwa kubadili gear haraka kwenda gia za juu hadi ibemebelezwe kidogo kidogo, ndipo linapokuja swala la pressure ya oil ya transamission, na hapa mmi ninaanza kuzero on kwenye vitu viwili tu: ama clucth haifanyi kazi au mafuta hayapati pressure ya kutosha ipasavyo.

Mafuta kutopata pressure ipasavyo hutokana na ama oil pump kufa, filter kuziba au oil pressure control solenoid valve kufa; oil pump za transamission ni imara sana huwa hazifi kirahisi, kwa hiyo tatizo linabaki ni ama oil au pressure control solenoid.

Haiwezekani gari lisiwe na transmission oil filter, gear box huhusisha vyuma vya gear kusagika sana, ndiyo maana lazima kuna filter; na kama filter hiyo ikiziba, utapata matatizo hayo kwani inakuwa haipeleki mafuta ya kutosha kujenga nguvu zakusukuma gia. Ingawa Toyota ist hazipo marekani lakini nafikiri kwa search inaonekana kuwa ni family ya Toyota SCION AT ambazo filter zake ni hizi hapa chini (hii ni ya 2006).
1580055477624.png

Kwa bahati mbaya, iwapo Pressure control solenoid imekufa, gharama za kuibadilisha huwa ni kubwa sana kiasi kuwa ni afadhali kuchukua hatua drastic za kubadilisha transmission yote, kwani hiyo pressure control solenoid ikishakufa humabukiza vitu vingine ndani ya transamission ambavyo navyo vitakufa baada ya muda siyo mrefu, ( ndani ya mwaka).

Vile vile iwapo flex disk imekufa, inawezekana gharama za kuibadili zikalingana na zile za kubadili transmission used.

Jawabu zuri sana ningekupa iwapo ningeifanyia ukaguzi.
 
View attachment 1335934

Mkuu Asante sana kwa maelezo yako.
Ni kweli kwamba kuna wakati nipo speed ya 100 theni nikiachia accelerator na kukanyaga tena kuna mshindo unasikika.
Kama uliyosema baada ya kutoa gear mount ile tuliyotoa bado ilikuwa mpya lkn fundi akangangania imechoka. Hata baada ya kubadilisha bado mshindo unatokea pale ninapo badilo hizo gear za R na D.

Kuhusu filter hapo juu ipo, sikujua kama hiyo ndo filter.

Swali langu ni Je, Diagnosis za computer zinaweza tatua hili tatizo? Nataka nikafanye diagnosisi kuliko haya mambo unampelekea fundi alafu anaanza kukisia
 
Inategema na ukali wa computer yenyewe, kwenye karakana yetu tuna computer tatu; mojawapo ambayo ndiyo baba lao wote inaweza kukuambia matatizo hata kabla wewe hujayasikia kwenye gari lako. Lakini zile nyingine mbili haziwezi kufanya kazi mpaka ile taa ya check engine iwe inawaka. Kwa hiyo kwa vile gari yako haiwashi taa hiyo, computer za namna hiyo hazitakusaidia kitu. Ukipelewa kwenye computer dignostics, hakikisha kuwa wana computer nzuri; nafikiri kama ulivyoshauriwa hapo juu, jaribu kwenda kwa dealer wa Toyota, nadhani wao wanaweza kuwa na hizo powerful computers.
 
Sawa mkuu.
Nitaenda kwa hao toyota
 
Mkuu Kichuguu nataka kununua gari iliyotumika corolla namba A je ni vitu gani vya msingi niviangalie nisiingizwe chaka ukizingatia mafundi apa nilipo hawatumii computer ...msaada tutani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kichuguu nataka kununua gari iliyotumika corolla namba A je ni vitu gani vya msingi niviangalie nisiingizwe chaka ukizingatia mafundi apa nilipo hawatumii computer ...msaada tutani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sheria ya harakaharaka kuhusu uchaguzi wa gari iliyotumika; mwombe Mungu akuongoze usiingizwe kwenye chaka.

Mambo machache unayoweza kufanya haraka haraka ni pamoja na labda kuweka toliet paper iliyolowa maji pale kwenye exhaust wakati mtu anakanyaga na kuachia accelerator kwenye kiti cha dereva. Fanya hivyo kwa kama dakika tano hivi; ukiona toilet paper hiyo inapata masizi, basi kuwa na mashaka kuhusu ubora wa injini ile. Njia ya pili ni wewe mwenyewe kuifanyia road test; iendeshe kwa nguvu sana uweze kusikia uwezo wake. Mojawapo ya vitu vya kuangalia wakati wa road test ni kama ifuatavyo. Ukiachia breki wakati iko kwenye tambarare, lazima ianze kuondoka hata kama hujakanyaga mafuta; kama haiwezi kuondoka mpaka ukanyage mafuta, anza kuwa na mashaka. Gari ina kamata spidi haraka kwa kugusa accerelator tu, siyo kwa kukanyaga accelerator mpaka kwenye bati; iwapo gari hilo linahitaji ukanyage accelerator mpaka kwenye bati, basi kuwa na mashaka. Sikiliza muungurumo; gari nzuri huwa haipigi kelele; iwapo gari hilo linatoa muungurumo mkali, basi kuwa na mashaka nao. Kwa kawaida gari iko balanced sana ukishastart injini, huwezi kusikia mtikisiko ndani ya gari, lakini iwapo ukishartart gari hilo linakuwa ni mitikisiko sana, basi kuwa na wasi wasi pia.

hayo ni baadahi tu ya mambo unayoweza kutumia kama njia ya awali ya kukagua; mambo mengine yanategemea na jinsi linavyo handle barabara kulingana na uzoefu wa dereva.
 
Kama una jamaa yako yeyote yupo mwanza mwambie aende barabara ya uhuru mkabala na barber shop ya kazungu kamoja.
Kuna mzee mmoja mwarabu ni mshika dini na anavitu genuine used from japan na anakupa guarantee ya miezi mitatu..
Gearbox ya ist iwe ni 1nz au 2nz anauza 400k.
Nimenunua kwake ingine yangu na zaidi ya marafiki zangu sita wamechukua engine tofauti tofauti na sijawahi sikia malalamiko.
Hachinji magari bali anuza spare parts from japan.
Forget about toyota workshops They are not reliable kama wanavyodhaniwa ndugu yangu.

Injini yako ulikufa ukabadilisha mkuu?
 
Ahsante Mkuu Kichuguu
Naleta mrejesho wangu kama ifuatavyo
Nilipanda basi kutokea Mwanza nikaenda Kahama kuna corolla nilikua naenda kuikagua nione kama naweza ondoka nayo huyu jamaa mwenye corolla anafanya biashara ya samaki kutoka geita kuleta Kahama sasa nimefika Kahama namsubiri jamaa akawa hafiki ananiambia bado anasubiri mzgo ikanibid nilale ili tufanye biashara asubuhi lakin bado asubuhi hakuweza kufika nikapata mawazo ya kusaka gari jingine nikaongea na jamaa yangu wa karbu ambae alikua amenipa habari kuhusu Corolla apo Kahama tukaingia kwenye msako bila papara tukaletewa Carina ,Passo, zote kuzikagua nikaone zitanisumbua huku huku tukakutana na Premio tukaikagua tukaielewa tukatest Gari inaitika tu...tukaingia mezan gari nikauziwa mil 4 bila dalali..! Nikamwaga oil nikabadili oil filter nikaenda Bar nikanywa Guinness 4 kwa mkupuo nilimwambia mhudumu azifungue aweke kwenye Jagi nikanywa kama maji nikasali kumushukuru Mungu na kumuomba anifikishe salama nikapita sheli nikaweka mafuta ya elfu 70 nikaingia kwenye chombo cha moto Premio nikafunga belti nikadaka abiria wawili ..nika anza mwendo nimetoka Kahama saa 06:30 jion nimefika Mwanza saa 09:50 usiku
Aisee naweza sema nimepata gari ...kesho naenda funga mziki chuma ianze kupiga taxify

hongera sana; usiweke maji ya bombani
 
Kama una jamaa yako yeyote yupo mwanza mwambie aende barabara ya uhuru mkabala na barber shop ya kazungu kamoja.
Kuna mzee mmoja mwarabu ni mshika dini na anavitu genuine used from japan na anakupa guarantee ya miezi mitatu..
Gearbox ya ist iwe ni 1nz au 2nz anauza 400k.
Nimenunua kwake ingine yangu na zaidi ya marafiki zangu sita wamechukua engine tofauti tofauti na sijawahi sikia malalamiko.
Hachinji magari bali anuza spare parts from japan.
Forget about toyota workshops They are not reliable kama wanavyodhaniwa ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wewe mjamaa kweli unajitahid kupotosha yaani unamshauri mtu asiende kwenye maduka ya wenye magari yao kwamba hayana spare genuine Bali ni uzushi tu? Ndugu huu ni uongo uliokomaa kupita kiasi haiwezekani mwenye chombo akose spare genuine yake sema tu umempromote huyo mzungu kiaina tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pablo Jr, Hongera sana....

...ilikuwaje ukanywa Guinness 4 kwanza ndiyo ukamshukuru Mungu...?[emoji28][emoji28]

Kama ulibadili oil na filter yake pia ningekushauri ubadilishe na Spark plugs uweke za iridium kutoka NGK, DENSO au Bosch ndiyo kibongo bongo zinafanya vizuri, air filter pia kama hutojali tramsmision fluid uibadilishe uweke ile genuine coz huwezi kujua mtumiaji wa awali alikuwa na tabia gani za uendeshaji....huenda alikuwa anaipanda vilima vikali na kubeba abiria wengi hivyo gear box ikawa inapata stress za kutosha..
Lakini pia kwenye radiator angalia kama kuna maji ya bomba yamwage, nunua coolant kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika uiweke...

Lakini ukiwa na muda usisahau kukagua swhwmu zenye maungo yanayozunguka mf cv joints kagua kama boot rubber hazivuji grease, brake pads pia angalia kama hazijakwisha. ...

Mwisho kama tairi si nzuri sana ukibadilisha ni jambo la busara zaidi....
...........sijajua kama ulijiridhisha kuwa gari halina madeni kutokana makosa ya barabarani..?
Kama yapo huna namna inabidi uyamalize. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Ukifanya hayo utakuwa na uhakika wa safari wakati wowote ule...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boeing 747, Huwa unaongea vitu vya maana sana kwenye gari mkuu natamani watanzania wote hasa wanaomiliki magari wawe kama wewe huwa nachukia sana mmiliki kununua gari kwa pesa ndefu zaidi ya million 10 halafu anashindwa kuifanyia service inayotakiwa hasa kwa kuweka vitu genuine huwa nachukia sana maana gari ni kama mtoto unahangaika kulitafuta halafu likishafika duniani unashindwa kulipa matumizi yake stahili inakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom