Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafundi wa kitanzania wababaishaji sana nilimuuliza fundi mbona hubadilishi akaniambia hapa Tanzania hakuna.Zipo
Aisee pole...ndiyo mafundi wetu hao...Mafundi wa kitanzania wababaishaji sana nilimuuliza fundi mbona hubadilishi akaniambia hapa Tanzania hakuna.
Hi swali nilshalijibu huko nyuma; kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha hali hiyo. soma post hiiNina gari aina Toyata Rav4 na ina tatizo la kunya sana mafuta na pia haikai silence ,,yaani uwe unakanyagia mafuta tu mda wote, ukiachia tu inazima .. Msaada pls
Sent using Jamii Forums mobile app
Ununuzi wa gari yoyote used ni kama kucheza pata potea; kama huna uzoefu na magari, tafuta mtu anayeyajua akukagulie gari hilo kabla hujaingia mkataba wa kulinunua. Jina la gari siyo jambo la muhimu sana ila namna gari lilivyotumika na kutunzwa kabla ya mwenye nalo kuamua kuliuza.Nataka kununua Verosa used kwa mtu, Sina ufahamu wowote kuhusu hizi gari hebu nijuze japo kiufupi mawili matatu juu ya hizi gari. Kwamba ninunue au niachane nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekaa tu kimya kama ulikuwa huwezi kumsaidia muuliza swali...ingekuwa heshima zaidiJe engine hizo zinaweza kunywa mchemsho?
Ni vitu gani haswa vya msingi kuvikagua mkuu ?Ununuzi wa gari yoyote used ni kama kucheza pata potea; kama huna uzoefu na magari, tafuta mtu anayeyajua akukagulie gari hilo kabla hujaingia mkataba wa kulinunua. Jina la gari siyo jambo la muhimu sana ila namna gari lilivyotumika na kutunzwa kabla ya mwenye nalo kuamua kuliuza. wajua magarai wana namna ya kuyakagua na kupitia ukaguzi huo anaweza pia kukusadia kukadiria thamani halisi ya gari wakati wa manunuzi
Ungekaa tu kimya kama ulikuwa huwezi kumsaidia muuliza swali...ingekuwa heshima zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaguzi wa gari kitaalamu ni process ndefu kidogo. Kwa jibu la haraka haraka ni kuwa kwanza angalia body yenyewe kama haijachoka kwa macho tu; yaani haijapakwa rangi juu ya putty (bondo); kuna chombo cha kuangalia kama gari ilishagongwa ikanyooshwa body kwa kupigwa putty, lakini hayo unaweza kuyaona kwa macho tu.
ndiyo!
Ungekaa tu kimya kama ulikuwa huwezi kumsaidia muuliza swali...ingekuwa heshima zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app