Ashante Mr.Kichuguu,,,nimeiona na nimeelewa ,,, na vp kuhusu swala kwenye mafuta ?Hi swali nilshalijibu huko nyuma; kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha hali hiyo. soma post hii
Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli
Mkuu nadhani ungebenchmark in terms of milage ikaeleweka vizuri engine iwe imetembea kuanzia km ngapi ndo haswa tatizo huwa maarufu kuliko kiumri. kwasababu kuna Lililotembea km elfu 10 kwa miaka nane na lililotembea km laki na 20 kwa miaka nane tangu litoke kiwandani. Kwa scenario ya umri...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app