Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Ni ya mwaka gani, na gari ina km ngapi?

Kama huwa inatoa moshi fulani mweupi kwenye exhaust basi huenda ni cylinder head gasket ambayo siyo ngumu kubadilisha. Oil kupungua kwa gari yenye umri mrefu ambayo imetembea km nyingi siyo jambo la ajabu kabisa, inategemea inapungua kwa kwa rate gani. Je gari haina nguvu kama mwanzo ili uende mbele lazim ukanyage accelerator hadi kwenye bati? Ukifikia kukanyaga accelerator hadi kwenye bati ndipo unaweza kufikiria kubadili injini au kufanya overhaul.
Kwa stage iliyofika hiyo engine, obviously hata compression itakua ndogo.. hivo gari power yake itakua ndogo na inatumia mafuta mengi ku attain a certain engine power band ambayo sivo ilivokua hapo mwanzo (unakuta power aliokua anaipata wakati engine ipo kwenye rpm ya 2 anaipata kwenye rpm ya 3.. hatari sana kwa afya.. anunue tu mswaki)
 
Gari ni ya mwaka 2004..haitoi moshi mweupe na ina nguvu kama kawaida sijawah ona tofaut

Oil inaanza kupungua ikiaribia muda wa service ila vinginevyo inakua kawaida tu
 
Hapa ni shida.. either cylinder head gasket is gone, lakini pia with engine consuming oil unaweza kuta na rings zinazo scrap oil zime stuck kwenye groove za piston au vutundu vya piston vinavo pitisha oil ili irudi kwenye sump vimeziba(hii usababishwa na carbon build up ambayo inatokana na kutobadilisha oil kwa wakati au oil poor quality) so hapa kama unapesa nunua injini swaki, mambo ya overhaul yataku cost... Mswaki wa 1nz unaweza usifike 1m.

Asante sana mkuu…oil inapungua gari ikikaribia muda wa service ila nguv inauo bado
 
Kwa stage iliyofika hiyo engine, obviously hata compression itakua ndogo.. hivo gari power yake itakua ndogo na inatumia mafuta mengi ku attain a certain engine power band ambayo sivo ilivokua hapo mwanzo (unakuta power aliokua anaipata wakati engine ipo kwenye rpm ya 2 anaipata kwenye rpm ya 3.. hatari sana kwa afya.. anunue tu mswaki)

Kuhusiana na nguvu sijaona ikipungua ina nguvu vziru tu
 
Natumia castrol 20w50
Oil mbaya hiyo kwa gari ndogo kama yako; unatakiwa utumie 10W30.

Ushauri mdogo kama unaweza kagua cylinder head gasket. Washa injini kwa muda ipate joto halafu fungua mfuniko wa oil; ukiwa na maziwamaziwa, basi suspect wako anakuwa ni cylinder head gasket. Ukishaona hivyo, chomoa waya zote za spark plugs, halafu fungua mfuniko wa radiator uache wazi mwambie mtu aingine kwenye kiti cha dereva apige ufunguo. Ukiona radiator inatoa mapovu, basi ujue Cylinder head gasket imeshaharabika, na hiyo inaweza kuwa ndiyo inasababisha matatizo yako yote. Usifungue radiator wakati injini ingali ya moto; maji yatakurukia usoni na kukuchoma. Inabidi uache injini ipoe kwanza kabla ya kuanza steji hii ya pili.

Jambo la pili, je huwa unatumia coolant au maji. Kama unatumia maji, huwa yanakwisha haraka sana na yanaweza kuweka kutu ndani ya injini ambayo itasababisha injini injini hiyo kuanza kuvuja.

Tatu: Angalia water pump; kama haisukumi maji kwenye mzunguko, maji hayo huweza kuchemka kupita kiasi na kuevaporate. Hali hiyo husababisha pia injini kuoverheat.

Ulaji wa oil unaosema ni wa kawaida kwa gari ya umri huo.
 
Oil mbaya hiyo kwa gari ndogo kama yako; unatakiwa utumie 10W30.

Ushauri mdogo kama unaweza kagua cylinder head gasket. Washa injini kwa muda ipate joto halafu fumngua mfuniko wa oili; ukiwa na maziwamaziwa, basi suspect wako anakuwa ni cylinder head gasket. Ukishaona hivyo, chomoa waya zote za spark plugs, halafu fungua mfuniko wa raditor (usifungue wakati injini ingali ya mt; maji yatakurukia usosni na kukuchoma. Inabid uache injini ipoe kwanza klabla ya kuaza steji hii ya pili) uuache wazi mwambie mtu aingine kwenye kiti ccha dereva apige ufunguo. Ukiona radiator inatoa mapovu, basi ujue Cylinder head gasket imeshaharabika, na hiyo inaweza kuwa ndiyo inasababisha matatizo yako yote.

Jambo la pili, je huwa unatumia coolant au maji. Kama unatumia maji, huwa yanakwisha haraka sana na yanaweza kuweka kutu ndani ya injini ambayo itasababisha injini injini hiyo kuanza kuvuja.

Tatu: Angalia water pump; kama haisukumi maji kwenye mzunguko, maji hayo huweza kuchemka kupita kiasi na kuevaporate. Hali hiyo husababisha pia injini kuoverheat.

Ulaji wa oil unaosema ni wa kawaida kwa gari ya umri huo.

Asante sana mkuu ntafanya hvyo kwenye upande wa coolant nawekaga coolant ikiisha naweka maji
 
Oil mbaya hiyo kwa gari ndogo kama yako; unatakiwa utumie 10W30.

Ushauri mdogo kama unaweza kagua cylinder head gasket. Washa injini kwa muda ipate joto halafu fungua mfuniko wa oil; ukiwa na maziwamaziwa, basi suspect wako anakuwa ni cylinder head gasket. Ukishaona hivyo, chomoa waya zote za spark plugs, halafu fungua mfuniko wa radiator uache wazi mwambie mtu aingine kwenye kiti cha dereva apige ufunguo. Ukiona radiator inatoa mapovu, basi ujue Cylinder head gasket imeshaharabika, na hiyo inaweza kuwa ndiyo inasababisha matatizo yako yote. Usifungue radiator wakati injini ingali ya moto; maji yatakurukia usoni na kukuchoma. Inabidi uache injini ipoe kwanza kabla ya kuanza steji hii ya pili.

Jambo la pili, je huwa unatumia coolant au maji. Kama unatumia maji, huwa yanakwisha haraka sana na yanaweza kuweka kutu ndani ya injini ambayo itasababisha injini injini hiyo kuanza kuvuja.

Tatu: Angalia water pump; kama haisukumi maji kwenye mzunguko, maji hayo huweza kuchemka kupita kiasi na kuevaporate. Hali hiyo husababisha pia injini kuoverheat.

Ulaji wa oil unaosema ni wa kawaida kwa gari ya umri huo.

Mkuu nimetafuta oil ya Castrol 10w 30 nimekosa je naweza tumia namba gani nyingine??? Kuna 5w30,5w40 na 10w40.

Kwa upande wa 10w30 kuna oil ya atlantic ila sijajua bado ubora wake na sijawah itumia msaada mkuu Kichuguu
 
Mkuu naweza kupata Pdf manual book ya Toyota spancio 2009

sent from HUAWEI
 
Kichuguu
Habari yako Mkuu!
Naomba ufafanuzi wa tatizo nimeliona katika gari yangu ni Toyota Crown Athlete, 4GR injini ya mwaka 2005 kama ifuatavyo:

1. Kuna muda kama mara mbili hv au tatu imekuwa ikitoa moshi mweupe kwa muda kidogo km sekunde 10 na unakata

2. Injini oil nimepima imepungua kutokana na kiwango kilichowekwa na kwa kile kipimo cha deep stick. Hakuna leakage yoyote na gari ina nguvu kama kawaida

Mabadiliko niliyowahi kufanya mara ya mwisho
Kwa kawaida huwa natumia injini oil aina ya Tota Quatz 5W40, lakini mara ya mwisho nilikuwa na changamoto ya msiba ambao ulikuwa mkoani hvy kutokana na ughafla wa jambo hili ilibidi nitoke na kwenda huko. Wakati huo tayari kilomita za kubadilisha oil zilikuwa zimefika hivyo ikawa sina budi kubadilisha oil lakini nilitumia aina nyingine ambayo ni Atlantic 5W30 kutokana na kukosa oil ya Total Quartz 5W40. Takribani gari imeshatembea kilomita 2400 ndiyo hali hiyo nimeiona. Tayari nimeshapanga kubadilisha oil, lakini niliomba kupata ufafanuzi wa suala hili

Note: kuna maelezo umetoa kwa mdau mmoja hv nadhan wa rav 4, juu ya suala la moshi na namna ya kupima nimefanya sioni dalili yyt ya maziwa maziwa wala povu ktk rejeta
 
Mkuu Carina Ti inawaka taa ya ABS tatizo nini hapo, nimepeleka kwa fundi ikamshinda
 
Mkuu Carina Ti inawaka taa ya ABS tatizo nini hapo, nimepeleka kwa fundi ikamshinda
Mmmhhh garii ipo wapiii mkuu njoo nikutatulie tatizo la gariii yako kwa mashine za kisasa mkuu hilo tatizo kwangu linakwisha mapema tuuu nicheki kwa matatizo yoyote ya umeme wa magari mkuu
+255 653 271 318
 
Nina vitz old model.
Imekua na tatizo lakutoa moshi mwingi sana hasa ninapoiwasha ikiwa imepaki mfano asubuhi au muda wowote.
Nilibadirisha ring lakini bado mabadiliko niliyaona kwa muda mfupi then tatizo limejirudia.

Nimeongea na fundi aliebadirisha ring anasema tatizo ni pistons zimekonda so natakiwa nibadirishe na pistons.

Je inaweza kuwa yupo sahihi...? Au ndio mwendelezo wa kunipiga maana mpaka dk hii ameshanipasua sana.
 
Nipo Mwanza mkuu
 
Tupate matangazo kidogo ya wadhamini

Mkuu gari yangu ukiwasha tu inaanza kujiendeaga kwa speed ya 120km/h[emoji23][emoji23]
 
Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.

Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through part-time activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu.

Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake, lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto-repair shop.

Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.

Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.

Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nina vitz old model.
Imekua na tatizo lakutoa moshi mwingi sana hasa ninapoiwasha ikiwa imepaki mfano asubuhi au muda wowote.
Nilibadirisha ring lakini bado mabadiliko niliyaona kwa muda mfupi then tatizo limejirudia.

Nimeongea na fundi aliebadirisha ring anasema tatizo ni pistons zimekonda so natakiwa nibadirishe na pistons.

Je inaweza kuwa yupo sahihi...? Au ndio mwendelezo wa kunipiga maana mpaka dk hii ameshanipasua sana.
Hapana, hayuko sahihi. Inabidi utoe maelezo zaidi kujibu maswali yafuatayo ili kukupa information zinazaoweza kukusaidia.

(1) je Inakula oil sana? (2) Je inakula coolant sana? (3) Je injini ina nguvu au mpaka ukanyage accelerator hadi kwenye bati ndipo iende? (4) Je inakula mafuta sana?

Nikipata majibu ya maswali haya ninaweza kukupa informatio nzuri za kukusaidia.
 
Back
Top Bottom