hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Professor kichuguu, hongera mingi sana kwako, na Mungu akubariki, ninaomba msaada gari yangu ni runx 1.5 ikifika spid 40 mlio unabadilika japo ni nyepesi na Ina nguvu,msaada pliz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwangu nikiwa nimewasha AC ndio changamoto zinatokea. msaada tafadhaliMkuu Gari Yako inajizima ukiwa umewasha AC au umezima AC Tuanzie Hapo Ntakupa Jibu na je ikijizima Si unawasha tu fresh
Sawa; nitafuatilia wiki ijayo. Ila elewa kuwa karakana yetu iko Marekani na kuna baadhi ya magari ya kijapani ambayo hayafiki Marekani, hivyo manual zake hatuzipati. Hebu niambie tena model ya gari lako.Habari bwana Kichuguu. Mimi nakumbushia tu ahadi uloniahidi. Uliniahidi baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka nikukumbushe juu ya manual ya kiingereza ya gari tajwa hapo juu. Nadhani huu ndo muda mwafaka. Ahsante.
Swali lako ni gumu bila mimi mwenyewe kusikia mlio unabdiliake. Hata hivyo wasi wasi mkubwa sana ni kwenye gearbox yako. Inapbadilisha gear kwenda top gear inaweza kuwa inaweza mzigo mkubwa sana kwenye injini kuliko ilivyotegemewaProfessor kichuguu, hongera mingi sana kwako, na Mungu akubariki, ninaomba msaada gari yangu ni runx 1.5 ikifika spid 40 mlio unabadilika japo ni nyepesi na Ina nguvu,msaada pliz
Ni zamani kidogo; je ulipata suluhu ya tatizo lako?Kwanza hongera kwa kuamua kuwa msaada kwa wengine,Nina shida inakera sana katika gari yangu.
Gari yangu ni RunX huwa inatabia ya kujizima nikiwa barabaran,imenisababishia ajali mara moja na zingine nanusurika tu kwa maana gari hujizima nikiwa katika motion.
Nimejaribu kutafuta muafaka kwa sasa naelekea kukata tamaa,maana nimenunulishwa pump mpya bado tatizo lipo tu,mara naambiwa plug mara naambiwa umeme yaan shaghala baghala.
Naomba msaada wako au ushauri wa kitaalamu ili niepukane na keto hii maana kwa sasa Sina Raha kabisa na gari .
Hii hapaSawa; nitafuatilia wiki ijayo. Ila elewa kuwa karakana yetu iko Marekani na kuna baadhi ya magari ya kijapani ambayo hayafiki Marekani, hivyo manual zake hatuzipati. Hebu niambie tena model ya gari lako.
kuharibika kwa power ya Mazda Demio ya electrical, inatengenezeka au mpaka kununua nyingineNakutana na Kijapan, mkuu.
kama uliizima na kuilock na mfumo wa alarm, ui unlock kwanzaHabari, nina Toyota Porte yangu
Niliiacha kwa muda kidogo Kama 1 month bila kuiwasha ila sasahivi nikiiwasha ina crank tu ila haipokei.
Nilimuita fundi akakagua plug zilikua Sawa, akakagua nozzle zilikua Sawa, anaangalia Kama mafuta yanafika sehemu husika, ndio yalikua yanafika
Akaangalia mfumo wa hewa pia though sio sana ila alisema Upo Sawa
Sasa mpaka sasa nashindwa kujua shida ni nini ila kwa historia tu hii gari haijawahi kushushwa engine wala kufanyiwa engine repair kubwa
Kwa sasa inapoteza sana oil kwasababu gasket seal (top cover seal) ilikua inavujisha oil sana ila bado sijabadilisha
Naomba kujua inaweza kua na changamoto gani ambayo bado hatujaangalia
Tumia Google lens, unafungua Google lens itakuambia piga picha maneno unavyotaka ku-,translate... Ukipiga picha itaanza ku-scan Kisha unabonyeza translate kama English au kiswahiliNakutana na Kijapan, mkuu.
kama uliizima na kuilock na mfumo wa alarm, ui unlock kwanza
Umeshapata suluhu?Habari, nina Toyota Porte yangu
Niliiacha kwa muda kidogo Kama 1 month bila kuiwasha ila sasahivi nikiiwasha ina crank tu ila haipokei.
Nilimuita fundi akakagua plug zilikua Sawa, akakagua nozzle zilikua Sawa, anaangalia Kama mafuta yanafika sehemu husika, ndio yalikua yanafika
Akaangalia mfumo wa hewa pia though sio sana ila alisema Upo Sawa
Sasa mpaka sasa nashindwa kujua shida ni nini ila kwa historia tu hii gari haijawahi kushushwa engine wala kufanyiwa engine repair kubwa
Kwa sasa inapoteza sana oil kwasababu gasket seal (top cover seal) ilikua inavujisha oil sana ila bado sijabadilisha
Naomba kujua inaweza kua na changamoto gani ambayo bado hatujaangalia
Umeshapata suluhu?