Mkuu mbona hueleweki?,mara ya kwanza umesema ulianza na laki 2 sasa hivi tena unasema umeanza na mtaji wa laki,tushike lipi tuache lipi?Nimeanza na mtaji wa laki 1 lakin hadi sasa nishapata faida ya kutosha!! Sio lazma usichokiamini wewe basi kila mtu asikiamini.... mimi binafsi sipendi siasa lakin kuna watu wamefanikiwa.... Fuata moyo wako na usiforce kulazimisha wengi waone upo sahihi ...
Mkuu mbona hueleweki?,mara ya kwanza umesema ulianza na laki 2 sasa hivi tena unasema umeanza na mtaji wa laki,tushike lipi tuache lipi?
Mhariri , Moderator na JamiiForums dhibiti Ponzi schemes na Pyramid scheme kama hizi zinazotangazwa humu na kuifanya jF kuwa salama.
Hii ikojeFirst,you need to register as an intern of Kalynda company, the company will give you 1,000 TZS registration bonus and 50,000 TZS experience bonus that will give you a commission of 1988 within 5 days!
Watu awaogopi mkuu MTU anaweka laki mbili
Kampuni haiuzi cho chote. Ukiuliza mnazalishaje hizo pesa wakati wala hamuwekezi hakuna jibu. Hela zinajizalisha tu kama chuma ulete. Ni typical pure ponzi/pyramid scheme. Wale wa mwanzo mwanzo na chambo wengine wachache ndo wanalambishwa vitone vya asali ili wakawalete makondoo wengine wengi zaidi. Jamaa wakiona mzigo umetosha hao wanasepa.
Hz ni msg za kuedit pure msg ya mpesa aina gapes nyingi HVO umejisahauLaki mbili mbna pesa ya kawaida sana!!View attachment 2367049
Kabsa mkuuKuna kitu wengine sijui ndo wanaitaga iner voice,jambo lolote lenye kunipa kigugumizi huwa nasikia kabisa ndani ya moyo naambiwa acha au fanya kwakweli huwa sidharau.
kuhusu hiyo Kalynder nafsi yangu imekataa katakata sitojaribu ingawa kaka yangu ni mmoja wapo anafanya hii kitu lakini kwa mimi hapana.acha yeye na wengine wawe mabilionea kirahisi rahisi tu mimi ntakua mfanyakazi wao wa kuosha hayo mavieti watakayonunua.