Kuna kitu wengine sijui ndo wanaitaga iner voice,jambo lolote lenye kunipa kigugumizi huwa nasikia kabisa ndani ya moyo naambiwa acha au fanya kwakweli huwa sidharau.
kuhusu hiyo Kalynder nafsi yangu imekataa katakata sitojaribu ingawa kaka yangu ni mmoja wapo anafanya hii kitu lakini kwa mimi hapana.acha yeye na wengine wawe mabilionea kirahisi rahisi tu mimi ntakua mfanyakazi wao wa kuosha hayo mavieti watakayonunua.
Mwanzoni kujiunga ni bure na mara baada ya kujiunga utapewa muda wa siku tano wa Internship na hapo utalipwa elfu moja kianzio then kila siku utapatiwa 1988 ni hiari yako kuchukua pesa na kuachana nao au baada ya siku tano kuwekeza elfu 20 na kuendelea!!
Haitoki auView attachment 2369517
Oya nataka niwapige hili buku walilonipa mbona wameanza uhuni mapema hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
We bwana mdogo unatuona sisi mihogo kivileeUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Well saidKwa hiyo hii ndio e-commerce? JamiiForums mnapaswa muwalinde members na schemes kama hizi zinazopostiwa humu.
Hapo sasa, yaan 20000 ndo ikulize mara mnatapeliwa wakat kwa siku chache unairudisha tuWabongo bhana!! Yan 20k nayo inakutoa povu as if umeambiwa unawekeza roho!!!
Nimeingia kwa miguu yote na nshaanza kuvuna! Na Kama Kuna nyingine Kama hii naomba mniinvite wakuu!
0715053339
Mnatangaza biashara aina gani ? Je pombe,kamali n.k.vipo ktk kuvitangaza?Hao eBay,Shoppee,Amazon n.k wote wana kitengo cha marketing ambapo sisi tunafanya kazi ya kuongeza sales ratings kupitia Platform yetu ya Kalynda ...All in all hatupo hapa kwa ajili ya kukuconvince kujiunga... Kama haupo tayari kujiunga Kalynda Nakushauri tu biashara ni nyingi sana ... Tafuta mtaji ujiunge biashara yoyote be free!!
PornMnatangaza biashara aina gani ? Je pombe,kamali n.k.vipo ktk kuvitangaza?
Nipo kalynda tangu June wewe ni mwenzanguWabongo bhana!! Yan 20k nayo inakutoa povu as if umeambiwa unawekeza roho!!!
Nimeingia kwa miguu yote na nshaanza kuvuna! Na Kama Kuna nyingine Kama hii naomba mniinvite wakuu!
0715053339
Nikweli au umechomekea?Porn
Watu wana certificate of incorporation, leseni, tax clearance, tin, vat registration certificate, osha, leseni ya B.O.T na bado wanakimbia na kutekeleza ofisi. Wabongo wezi sanaMimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo