[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Imeisha Hiyooooo,, Cha Bure Salamu hapa Town
***Mjini AKILI
NGUVU peleka kijijini.
Anayefataaa......
Tumekaririshwa vibaya.Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
yesEscotter20 njoo hapa chapu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app wee nimiongoni uliyetapeliwa hapahapa
We jamaa ni mfale njozMuda una majibu mazuri sana,tuupe nafasi.
Now it's trendingKuna wajanja wameweka makalio huko ofisini tena ghorofani wanasubiri makusanyo ya hela za 'wapumbavu na malofa' kisha kuzipata hizo hela wanatimkia ughaibuni 😂
DECI ilipopiga hela za Wachungaji kuna watu humu walikuwa hawajazaliwa, wapigaji wamekuwepo na wataendelea kuwepo, muwe makini bandugu mtapigwaaa.
Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
Hii hapa Kalynda fungua ujienge upige pesa mitandaoni! Kalynda
Sasa unalazimisha wote wakuelewe mkuu dah yaan untfta kamisheni kwa lazima na Kama biashara huria ulivyotangaza tu ungetulia ili iwe huria lkn naona povu fulqni hivii ili watu wasage meno baadae eeeh?View attachment 2348455
Nenda brela ukague Validity ya hii Certificate afu uje hapa jukwaani kutoa ushuhuda... Nawashauri ndugu zangu tufanye kwanza Research ya mambo ndo tuje kuattack sio kukurupuka kuattack kihisia!
Wewe kweli mjingaWebsite haifunguki[emoji16][emoji16][emoji16]
Suo kizembe hivyo lakiniUoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!