Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Wale wanatutumia meseji za online business , mwenzenu kazimia huku nasikia platform ya kylinda cjui imebumaa[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20221009-WA0099.jpg
 
Kuna mwamba mmoja wa ndani uko nilimfuata nikamwambia alinikataza sana usijiunge ni hio issue ni mchezo wa muda mfupi tu akaniambia wewe subiri uone kitakachotokea.. eeh leo nasikia kitu kimebuma walioliwa wameliwa kweli nimeamini maana ya Bongo ni Janja Janja watu washaibiwa tayari

Alafu kuna Jamaa mmoja humu alikua anawapinga wazi wazi wakawa wanajitetea daah watu washalizwa uko
😂😂😂
 
Kuna wajanja wameweka makalio huko ofisini tena ghorofani wanasubiri makusanyo ya hela za 'wapumbavu na malofa' kisha kuzipata hizo hela wanatimkia ughaibuni 😂

DECI ilipopiga hela za Wachungaji kuna watu humu walikuwa hawajazaliwa, wapigaji wamekuwepo na wataendelea kuwepo, muwe makini bandugu mtapigwaaa.
Now it's trending
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jjazajuan sisi Wachagga tunasrma Fosia
 
Mnaendelea je ?
Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
 
View attachment 2348455
Nenda brela ukague Validity ya hii Certificate afu uje hapa jukwaani kutoa ushuhuda... Nawashauri ndugu zangu tufanye kwanza Research ya mambo ndo tuje kuattack sio kukurupuka kuattack kihisia!
Sasa unalazimisha wote wakuelewe mkuu dah yaan untfta kamisheni kwa lazima na Kama biashara huria ulivyotangaza tu ungetulia ili iwe huria lkn naona povu fulqni hivii ili watu wasage meno baadae eeeh?
 
Uoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!
Suo kizembe hivyo lakini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom