Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 268
- 568
Akijibu NitagMkuu tupe mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijibu NitagMkuu tupe mrejesho
Mtaji umefika kiasi gani mkuu?Nitafute nikuelekeze Kalynda ndo habari ya mjini, mi natengeneza 8,000 kila siku kwa mtaji wangu wa 200,000
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakua kalibia kamillion 10Mtaji umefika kiasi gani mkuu?
Nasikia mmetapeliwa ni kweli na je ww ulitia kweny account kias gani?!Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Wajinga ndio waliwao mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kekundu kekundu
Ofisi mnafungua saa ngapi?Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Hawajambo KalyndaUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo Kuna mteja wangu kanichekesha anasema
Aliweka hela ya kikundi chao cha kusaidiana
Akaacha na biashara yake ya online
Akawa anafanya kalyanda
Anasema mumewe anamuamsha usiku aangalie Kama link imefunguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnapatikana wapi? Nataka kujiunga ili na mimi nivune mihela eti! 💰Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Uje utetee tena huu uvundo wako hapa.Mimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuuLeo Kuna mteja wangu kanichekesha anasema
Aliweka hela ya kikundi chao cha kusaidiana
Akaacha na biashara yake ya online
Akawa anafanya kalyanda
Anasema mumewe anamuamsha usiku aangalie Kama link imefunguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaiweka wapi sura yako mkuu?Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Kabla hujapiga unapigwahizi pyramid scheme n frauds km deci tu cha msingi ukiwekeza piga pesa mapema kisha ondoka zako huko mbele kuna watu watalia na kusaga meno
Vp unahali gani ndugu?Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya