Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Nasikia mmetapeliwa ni kweli na je ww ulitia kweny account kias gani?!
 
Kuna watu wanalia vilio vya mbwa huku kitaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio waache ujinga yaani watanzania hawajifunzi tu kutoka KWA DESI
 
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Ofisi mnafungua saa ngapi?
 
Leo Kuna mteja wangu kanichekesha anasema
Aliweka hela ya kikundi chao cha kusaidiana
Akaacha na biashara yake ya online
Akawa anafanya kalyanda

Anasema mumewe anamuamsha usiku aangalie Kama link imefunguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Mnapatikana wapi? Nataka kujiunga ili na mimi nivune mihela eti! 💰
 
Mimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
Uje utetee tena huu uvundo wako hapa.
 
Leo Kuna mteja wangu kanichekesha anasema
Aliweka hela ya kikundi chao cha kusaidiana
Akaacha na biashara yake ya online
Akawa anafanya kalyanda

Anasema mumewe anamuamsha usiku aangalie Kama link imefunguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom