OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #21
Hiyo ipo sana mkuu, kama umemfukuza anatengeneza unamrudisha kisha anakuweka chuma kiburi chako chote na jeuri kwishaVip kuhusu mambo ya mapenzi, yaan limbwata. Mwanamke anakuloga mpaka hujielewi, unajikuta unatoa tu hela, unampenda lakin ukikaa ukiwaza hata wewe mwenyewe huelewi unashindwa nini kumuacha huyo mwanamke. Dawa ya hii kitu ni niji
Unamaanisha niniBabu aweza kudunda au hawezi?
Naomba nikuroge, usisikie wala kuona mwingine yoyote...Bachela of Science in uchawi😁😁!!
Wachawi waseee sana
Hiyo kinga ya Kiroho ipoje mkuu. Ufafanuzi kidogoHiyo ipo sana mkuu, kama umemfukuza anatengeneza unamrudisha kisha anakuweka chuma kiburi chako chote na jeuri kwisha
Hakikisha una kinga ya kiroho
Kimila ni zindikoHiyo kinga ya Kiroho ipoje mkuu. Ufafanuzi kidogo
Ndio kwa kutumia uzoefu ila itanilazimu nikuulize maswali kadhaaUzi mzuri, mkuu umekuja na kitu ambacho yafaa wenyekutaka kujifunza tutajifunza .
Unaweza fahamu ugonjwa wa mtu ni wa kulogwa pasipo kwenda kwa mganga au hosptali?
HahahahaahhaaSisi kama taifa la Tanganyika, tuna ugonjwa gani wa kulogewa, kama umeshafanya uchunguzi wako?
Mkoloni vipi, analogeka?
Hili swali sikulitegemea katika hii mada ila limenichekesha sana.Sisi kama taifa la Tanganyika, tuna ugonjwa gani wa kulogewa, kama umeshafanya uchunguzi wako?
Mkoloni vipi, analogeka?
MFano kama kunauchawiii nimefanyiziwa naweza kuuflash kwa vitu asiliiiNdio kwa kutumia uzoefu ila itanilazimu nikuulize maswali kadhaa
Ila ukiwa kwa babu huko ulipo kanuni ni tofauti wewe ukifika unapiga buyu (kimya) yeye ndo akuambie kilichokuleta ni nini
Sawa mkuuMimi nimeweka wazi muulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa.
Hayo mengine nitaanzisha mada siku ingine siku nikifikia hiyo corse
Ahsante
Watanzania wengi ni vichaa mkuuMimi nimeweka wazi muulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa.
Hayo mengine nitaanzisha mada siku ingine siku nikifikia hiyo corse
Ahsante
Mpaka upate msaada wa mtaalamu ana uninstall huo uchawi kisha anskuwekea kinga ya kirohoMFano kama kunauchawiii nimefanyiziwa naweza kuuflash kwa vitu asiliii
CCM ndio serikali yenyewe mkuu, kila mganga yeyote unayemjua wewe nchi hii yupo kwenye data base za serikali.Unaweza kuinyoosha ccm [emoji1][emoji1][emoji23]
Sawa mkuuHata uchawi Wala kulogwa, ni utapeli tu