OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #61
Unadunda vizuri kabisa hasa kama mlengwa ana kinga ya kiroho (zindiko au imani kali) ila sio mara zote ni kwa wachacheUchawi haudundi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadunda vizuri kabisa hasa kama mlengwa ana kinga ya kiroho (zindiko au imani kali) ila sio mara zote ni kwa wachacheUchawi haudundi?
Imani kali, mkuu fafanua? Je inahusisha ibada maalum ama mtu huweza kuzaliwa nayo ?Unadunda vizuri kabisa hasa kama mlengwa ana kinga ya kiroho (zindiko au imani kali) ila sio mara zote ni kwa wachache
Ndio inawezekanaMiaka yangu ya utotoni niliwahi kumshuhudia dada mmoja changu la kitaa likitombeka kinoma, wakubwa walisema yule dada alirogwa na wenzake kwa sababu alikuwa mzuri mno na ni kweli kwani hata wanamuziki wa enzi hizo miaka ya 80 walimtungia nyimbo na zilivuma sana redioni. Yule dada alikuwa añagawa balaa mpaka akawa añagawa kwa wavuta bangi na kupoteza mvuto wake kabisa. Je ni kwelii mtu anaweza kurogwa na kuwa changudoa au msenge?
Ndio inawezekanaUganga na uganguzi. (UCHAWI)
Je kuna watu wanazaliwa na uwezo mkubwa wa kiroho ama kinga ya kiroho ?.
Sijasomea wala sio shabiki wa uchawi ila najua upo na umetawala sehemu kubwa ya Dunia. Ila imani yangu ni kubwa sana upande wa nuru ijapokuwa sio mtu wa kuswali/ibada.
Unajuaje kama sijatembea mkuu?Kujua Dunia ni kukaa sehemu Moja au kufika Kila pembe ya Dunia hii. Tembea uone unafikiri huu msemo hauna maana.
Kivipikumbe wavuta bangi na ngada wamelogwa!!
Dawa ya kulogea inapatikana wapiHabari wakuu,
Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi).
Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo juu.
Magonjwa yanayotokana na uchawi ni magonjwa ambayo hayapo kwenye Standard Guideline Treatment (STG) Mara nyingi haya exist ki medical (kitabibu) na daktari akifanya diagnosis inakuwa haipo clear atatoa dawa utaenda utatumia lakini hali ipo vile vile unahama hospitali hata tano lakini hakuna nafuu unayopata na majibu unapewa hayaeleweki.
Au unaumwa unaenda hospitali unapimwa kila kitu unaambiwa hauna tatizo lolote ila unamaumivu tu unapewa dawa za kutuliza maumivu kisha unaambiwa urudi nyumbani ukijiangalia unaona kabisa unaumwa tena sana.
Mara nyingi magonjwa ya kulogwa huwa ni tumbo, kupooza, maumivu yasiyoeleweka, kuchizika n.k
Kiujumla magonjwa ya kulogwa ni magonjwa ambayo hayatambuliki kihospitali.
Nakaribisha maswali yote uliza hapa hapa nitajibu hapa hapa.
Ahsante
Unajuaje kama sijatembea
Wa kutembea anajulikana Kwa majibu yakeUnajuaje kama sijatembea mkuu?
Ni kweli mkuu hicho ni kichanganyio muhimu kwenye kukutengeneza umpende kwa moyo wote fikra zako zote na mapenzi yako yote.Juzi juzi hapa nilisafiri kikazi Manyara na demu wangu (tuko Ofisi moja). Baada ya kuspend siku kadhaa kule muda wa kurejea tulipotoka uliwadia.
Nikawa namwomba demu anirudishie vitambaa nilivyokuwa navitumia kusafishia dushe langu kila wakati wa tendo, na yeye alikuwa anavichukua ili avifanyie usafi. Sasa kila nikimwomba anapiga chenga, ukimkumbusha hajibu chochote zaidi ya kuleta story mpya.
Kwakuwa nilishasikia sikia juu ya haya mambo ya wadada, kutumia vitambaa ulilosafishia dushe kukuteka. Nilijiuliza, anaving'ang'ania hivi vitambaa vyangu vya kazi gani? Anataka kuvifanyia nini? Akili yangu ikapiga alarm kwamba hapa nataka kupigwa tukio. Ikabidi nimkazie, bado hataki kutaja ameviweka wapi.
Nikajiongeza "inawezekana viko kwenye mkoba wake". Nikaufata mkoba ulipo ili nivitoe, akanifata akinizuia, yaani ukawa ugomvi. Nilifanikiwa kuvichukua kwa mabavu.
Je, ni kweli kwamba vitambaa vyenye mbegu zako, hata kama kitafuliwa, kinaweza kutumia kukudhuru kichawi ikiwemo kukuua kabisa? Au nilifanya ukorofi usio na maana?
Kuna cheti nilikiona kipo kimeandikwa wizara ya maendeleo jinsia wazee na watoto nadhani baada ya kuigawa wizara hiyo taasisi imebaki huko ada sio elfu kumi ni elfu thelathini mpaka 50No, taasisi ipo chini ya wizara ya Afya na wanatoa leseni kwa waganga wote ambayo inalipiwa tsh 10,000/=
Uwe mlokole kweli kweli kiasi kwamba mtu akikutisha unamjibu kwa kujiamini aende akajaribu hataweza au uwe na zindiko vinginevyo utapigwa spana moja tu chaliImani kali, mkuu fafanua? Je inahusisha ibada maalum ama mtu huweza kuzaliwa nayo ?
Nimekuruhusu unirogeUnadunda vizuri kabisa hasa kama mlengwa ana kinga ya kiroho (zindiko au imani kali) ila sio mara zote ni kwa wachache
Mkuu kusema ukweli ktk kozi zangu huku sijashuhudia kitu kama hicho ila type za namna hiyo ni wale wachawi ambao ni wanga nikiyajua hayo yote basi ntakuwa mchawi na siyatakiJe, inawezekana mtu kuwa mchawi (anawanga kama kawaida, usiku anabadilika kuwa paka) alafu hajijui? Yaani, Kwa mfano, mtu huyo akikamatwa anasema kwamba "yeye hajijui kama anawanga au amegeuka kuwa paka". Je, hilo linawezekana kufanya mambo ya kiuchawi pasipo muhusika kujijua kama yeye ni mchawi?
Zipo nyingi tu tafuta kilinge chochote kilicho karibu na weweDawa ya kulogea inapatikana wapi
Tafuta nyuzi zangu za nyumaWa kutembea anajulikana Kwa majibu yake
Habari wakuu,
Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi).
Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo juu.
Magonjwa yanayotokana na uchawi ni magonjwa ambayo hayapo kwenye Standard Guideline Treatment (STG) Mara nyingi haya exist ki medical (kitabibu) na daktari akifanya diagnosis inakuwa haipo clear atatoa dawa utaenda utatumia lakini hali ipo vile vile unahama hospitali hata tano lakini hakuna nafuu unayopata na majibu unapewa hayaeleweki.
Au unaumwa unaenda hospitali unapimwa kila kitu unaambiwa hauna tatizo lolote ila unamaumivu tu unapewa dawa za kutuliza maumivu kisha unaambiwa urudi nyumbani ukijiangalia unaona kabisa unaumwa tena sana.
Mara nyingi magonjwa ya kulogwa huwa ni tumbo, kupooza, maumivu yasiyoeleweka, kuchizika n.k
Kiujumla magonjwa ya kulogwa ni magonjwa ambayo hayatambuliki kihospitali.
Nakaribisha maswali yote uliza hapa hapa nitajibu hapa hapa.
Ahsante
Binti yangu miaka 21 tangu mwaka jana akinywa pombe hata kidogo anakuwa hajitambui anavua nguo barabarani. Kabla ya hapo hakuwa hivyo na ulianza Hali yetu ya kimaisha ilipokuwa vizuri kiasi cha kuwa na nyumba mbili na gari na wajukuu vidume watatu kiasi Cha kumzua hasadi kwa shemeji zangu.Habari wakuu,
Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi).
Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo juu.
Magonjwa yanayotokana na uchawi ni magonjwa ambayo hayapo kwenye Standard Guideline Treatment (STG) Mara nyingi haya exist ki medical (kitabibu) na daktari akifanya diagnosis inakuwa haipo clear atatoa dawa utaenda utatumia lakini hali ipo vile vile unahama hospitali hata tano lakini hakuna nafuu unayopata na majibu unapewa hayaeleweki.
Au unaumwa unaenda hospitali unapimwa kila kitu unaambiwa hauna tatizo lolote ila unamaumivu tu unapewa dawa za kutuliza maumivu kisha unaambiwa urudi nyumbani ukijiangalia unaona kabisa unaumwa tena sana.
Mara nyingi magonjwa ya kulogwa huwa ni tumbo, kupooza, maumivu yasiyoeleweka, kuchizika n.k
Kiujumla magonjwa ya kulogwa ni magonjwa ambayo hayatambuliki kihospitali.
Nakaribisha maswali yote uliza hapa hapa nitajibu hapa hapa.
Ahsante
Rejea mwanzo wa uzi bachelor of science in uchawi wenyevfaida sasa nkikuloga nita gain kitu gani?Nimekuruhusu uniroge
Hapo hamna uchawiBinti yangu miaka 21 tangu mwaka jana akinywa pombe hata kidogo anakuwa hajitambui anavua nguo barabarani. Kabla ya hapo hakuwa hivyo na ulianza Hali yetu ya kimaisha ilipokuwa vizuri kiasi cha kuwa na nyumba mbili na gari na wajukuu vidume watatu kiasi Cha kumzua hasadi kwa shemeji zangu.