OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #101
Hilo linatatulikaZONGO Ni uchawi wa wanawake wa TANGA. Yaani anakutizama tu anakuachia mzigo. Mara nyingi huwapiga watoto wachanga ili WAZAZI wahangaike.
Mara nyingi dawa za kutibubuchawi huwa zinatibu gonjwa zaidi ya moja
Ni kama vile broad spectrum antibiotics mfano power safe (ceftriaxone) inatibu pneumonia, UTI, infections mbali mbali vidonda, damu n.k
Dawa za kuua uchawi zipo hivo hivo