BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Sisi wazazi wake hatunywi pombe na tupo stable sana mentally kuanzia hata Babu na bibi zake hivyo siyo kurithi ilianza mara baada ya ugomvi na hao na hospital hataki kwenda hata kuombewa kidini hataki na kienyeji ndio kabisa.Hapo hamna uchawi
Atakuwa na psychosis iliyojificha huenda nibya kurithi kwa genetic factors kwa baba ama kwa mama
Akinywa pombe inakuwa alcohol induced psychosis pombe ni triger ya ukichaa kwa mtu mwenye elements hizo
Kumsaidia mtafutie dawa ya kuacha pombe
Mtu anayelogewa pombe ni wale mnawaita cha pombe yaani maisha yao muda wote wamelewa kulala kuamka ni pombe wanashinda vilabuni asubuhi jioni hadibusiku wanaacha kazi mke watoto wanakuwa wapo wapo tu
Ahsante
Nimechoka sana natamani nife