OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #121
Kwqmba daktari kama hajawahi kuugua ukimwi au corona hawezi kujua hayo magonjwa?Nataka kujua kama ww mchawi huwezi kujua ya wachawi as if ww sio mchawi
Hakuna ilo ww mchawi bhna usikataeKwqmba daktari kama hajawahi kuugua ukimwi au corona hawezi kujua hayo magonjwa?
Unatumia logic gani hiyo mkuu?
To me that is a logical fallacy
Change your reasoning methodology
Haya mambo ni shule kama shule zingineHakuna ilo ww mchawi bhna usikatae
Badilisha mbinu za kutongoza kijana mdogo,achana na hisia potofu.una element za "u- soy boy" ,hakuna mtu amekuloga.Aseeh mkuu mm naomba kuulza kwann wasichana wananikataa sana!? Yani hadi nmekuwa muoga sasa ni wasichana wa 4 wamenikataa ndani ya miezi miwili iliyopita na hata manzi nlienae nahisi hanipendi ila natumia nguvu tu kuwa nae yeye wala hana muda na mm ndio natongoza kwengine ili nijitoe kwa huyu manzi ila sasa wananikataa na huku naona sikubaliki kbs yani ukweli najiskia vibaya sana hadi nahisi nmerogwa !?
Yn msichana ukienda tu kuonana nae mtashikana vzr na mtapga story fresh ila baadae ndio hakutaki tena sshv ni kama npo Single tu wasichana hawanitaki na kimuonekano huwa nasifiwa ni HB ila na u HB wangu bdo nakataliwa na ninaumia na haya Mapenzi.
Je huwenda kun kitu nmefanyiwa na watu wa dunia hii!?
Hapo mkuu tatizo ni nyota huenda imejifunikaAseeh mkuu mm naomba kuulza kwann wasichana wananikataa sana!? Yani hadi nmekuwa muoga sasa ni wasichana wa 4 wamenikataa ndani ya miezi miwili iliyopita na hata manzi nlienae nahisi hanipendi ila natumia nguvu tu kuwa nae yeye wala hana muda na mm ndio natongoza kwengine ili nijitoe kwa huyu manzi ila sasa wananikataa na huku naona sikubaliki kbs yani ukweli najiskia vibaya sana hadi nahisi nmerogwa !?
Yn msichana ukienda tu kuonana nae mtashikana vzr na mtapga story fresh ila baadae ndio hakutaki tena sshv ni kama npo Single tu wasichana hawanitaki na kimuonekano huwa nasifiwa ni HB ila na u HB wangu bdo nakataliwa na ninaumia na haya Mapenzi.
Je huwenda kun kitu nmefanyiwa na watu wa dunia hii!?
Tatizo sio mbinu ni mwili wakeBadilisha mbinu za kutongoza kijana mdogo,achana na hisia potofu.una element za "u- soy boy" ,hakuna mtu amekuloga.
Kazi nlkuwa nmefungiwa na TRA miezi miwili juzi kati ndio nmefanikiw kufungua inaenda vzr tu, ila huku kwengne ni tafrani tu na kuna muda naona kama kila mtu ananichukia hasa wasichana dah napata tabu sana nfanye nn ili niwe sawa mkuu! Kuogea chumvi vp nitafanikiwa kusafisha nyotaHapo mkuu tatizo ni nyota huenda imejifunika
Kuna nyota ya jumla na nyota ya kazi
Vipi kuhusu kazi yako inakwenda vile utakavyo?
Hapo mkuu tatizo ni nyota huenda imejifunika
Kuna nyota ya jumla na nyota ya kazi
Vipi kuhusu kazi yako inakwenda vile utakavyo?
U- Soy boy ni nn mkuu tafadhali nieleweshe nipate kujfunza haiwezekani nakataliwa tu wakat mtu amekupa hadi namba akaomb mkutane na unaenda kukutana nae mnapga story vzr anakuwa kama amekukubali ila baadae anakubadlikia tu hakutaki tena uanjarbu kwngne nako unakuta mnapanga kila kitu ikifka siku ya kuonana ndio hataki tena hata kupokea simu had nakuwa mkali ila wapi.Badilisha mbinu za kutongoza kijana mdogo,achana na hisia potofu.una element za "u- soy boy" ,hakuna mtu amekuloga.
Hizo ni red flag mkuu soon hata kazi zitazinguaKazi nlkuwa nmefungiwa na TRA miezi miwili juzi kati ndio nmefanikiw kufungua inaenda vzr tu, ila huku kwengne ni tafrani tu na kuna muda naona kama kila mtu ananichukia hasa wasichana dah napata tabu sana nfanye nn ili niwe sawa mkuu! Kuogea chumvi vp nitafanikiwa kusafisha nyota
Kwhyo mkuu nfanye nn sasa dah npe mwelekeo angalau aseehHizo ni red flag mkuu soon hata kazi zitazingua
Nenda kanisani au mtafute babu aliyekaribu naweweKwhyo mkuu nfanye nn sasa dah npe mwelekeo angalau aseeh
Dah kazi ipo asante sana kwa ushauri huu mkuu.Nenda kanisani au mtafute babu aliyekaribu nawewe
Msaada wa hayo majana na vituUna flash kwa vitu asili na si lazima uende kwa mtaalam, unaweza kutumia majani na miti kutoa.
Sent using Jamii Forums mobile app