Niulize chochote kuhusu mizimu

Niulize chochote kuhusu mizimu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu,

Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.

Mizimu ni roho za watu waliokufa.

Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa)

Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya

Kuna aina zaidi ya >200 za mizimu.

Kama una swali lolote kuhusu mizimu kisayansi au kiroho niulize nitakujibu

Ahsante
 
Bado hujajua nini maana ya mizimu!

Mizimu ni mashetani wa kijini ambao wapo hai kabisa. Hakuna mizimu mizuri kwasababu inachochea ushirikina na inapenda kuabudiwa na kuombwa kama Mungu.

Mizimu ni majini waovu ama kwa jina lingine ni mashetani ya kijini.

Majini wazuri wanamuabudu na kumtii Mungu wala hawashawishi wanaadamu wamkufuru Mungu.
 
Nawezaje kuutumia mzimu wa babu yangu kunitatulia changamoto zangu za kiafya na kimaisha wakati alipokuwa hai nilishindwa kumtumia na pia nilimtelekeza kabisa

Sasa hv hayupo duniani ndio nimeanza kutambua umuhimu wake?
 
Neno Mizimu ya Ukoo.

Inatokana na ukweli kwamba majini huishi miaka mingi sana tofauti na binadamu. Jini anauwezo wa kuishi zaidi ya miaka 500..hivyo anakuwa ameshuhudia vizazi zaidi ya 7-10 vya binadamu. Kwahiyo kama alikuwa akiabudiwa na babu zako waliokutangulia anaendeleza desturi hiyo kwa uzawa huo kwa vizazi kadhaa .

Mwisho ni kuwa mizimu haina uwezo wa kumnufaisha wala kundhuru mwanadamu isipokuwa kwa idhini ya Mungu.

Mungu akitaka kukupa mtihani wewe mwanadamu anaweza kuruhusu udhurike kwa shari za hao majini na akitaka huwezi kudhurika kamwe.
 
Habari wakuu,

Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.

Mizimu ni roho za watu waliokufa.

Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa)

Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya

Kuna aina zaidi ya >200 za mizimu.

Kama una swali lolote kuhusu mizimu kisayansi au kiroho niulize nitakujibu

Ahsante
Uhuni mtupu.
 
Vita kubwa hapa duniani ni vita kati ya Ibilisi na wana wa Adam.

Lengo la Ibilisi ni wana wa Adam wamkufuru Mungu ili mwishi wa siku apate kundi kubwa la kuingia nalo Motoni. Aliapa mbele ya Mungu kuwa kutokana na kulaaniwa kwake basi atahakikisha anavipotosha vizazi vyote vya adamu. Alichoomba ni kupewa uhai mrefu mpaka mwisho wa dunia.

Sasa hapo ndipo alipotengeneza vikosi vyake vya majini na watu ili kuhakikisha kuwa anatimiza lengo lake.

Miongoni mwa vikosi vya mashetani ya kijini yanayomsaidia ni hiyo Mizimu.

Wanaadamu wanaiomba, wanaisujudia,wanaiabudu,wanaitii ,wanaitolea sadaka za kuchinja n.k mambo yote yanayopaswa kufanyiwa Mungu, wao wanawafanyia mizimu...kiufupi ni ushirikina na mwanadamu akiyafanya hayo anakuwa ni mshirikina kwa maana ya kwamba anaabudu wengine pamoja na au badala ya Mungu.

Na mwanadamu akifa akiwa na imani ya ushirikina (kuamini mizimu) anakuwa ameshajikatia tiketi ya kuuingia moto wa jehanam pamoja na Ibilisi.
 
waste-and-landfill-image-used-for-energy.jpeg
 
Mizimu ni nani na kwa nini huzuia mafanikio ya mtu,familia au ukoo?
Zipi athari za kuifata?
Mizimu ni roho za ndugu zako (babu na bibi), upande wa mama yako na baba yako.

Namaanisha baba yako ana baba yake baba yake na baba yako (babu) na yeye anababa yake chain inaendelea...........

Hivyo hivyo kwa mama yako, na yeye ana mama yake, mama yake na mama yako naye ana mama yake .... Circle inaendelea.........

Katika hao ndugu zako hapo juu kwa pande zote mbili (kwa baba na kwa mama) wapo waliokuwa matajiri wanamiliki mifugo nyumba na mashamba pia wapo masikini, wagonjwa, walevi, wasimbe n.k

Ikitokea umerithi mizimu ya kimasikini hautayaona mafanikio ikitokea umerithi mizimu ya kisimbe hautakaa udumu na mwanamke au mwanaume utqkufa single.

Matambiko ni njia ya kufukuza mizimu mibaya na kuiita mizimu mizuri

Wqchaga hufanya matambiko kila mwaka waulize watakupa somo

Ahsante
 
Bado hujajua nini maana ya mizimu!

Mizimu ni mashetani wa kijini ambao wapo hai kabisa. Hakuna mizimu mizuri kwasababu inachochea ushirikina na inapenda kuabudiwa na kuombwa kama Mungu.

Mizimu ni majini waovu ama kwa jina lingine ni mashetani ya kijini.

Majini wazuri wanamuabudu na kumtii Mungu wala hawashawishi wanaadamu wamkufuru Mungu.
Majini na mashetani ni vitu viwili tofauti kabisa na vina uzito sanaa

Uliza uelimishwe

Ahsante
 
Back
Top Bottom