OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Bado hujajua nini maana ya mizimu!Habari wakuu,
Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.
Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa)
Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya
Kuna aina zaidi ya >200 za mizimu.
Kama una swali lolote kuhusu mizimu kisayansi au kiroho niulize nitakujibu
Ahsante
Nawezaje kuutumia mzimu wa babu yangu kunitatulia changamoto zangu za kiafya na kimaisha wakati alipokuwa hai nilishindwa kumtumia na pia nilimtelekeza kabisaHabari wakuu,
Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.
Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa)
Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya
Kuna aina zaidi ya >200 za mizimu.
Kama una swali lolote kuhusu mizimu kisayansi au kiroho niulize nitakujibu
Ahsante
Uhuni mtupu.Habari wakuu,

Una uhakika?...Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Mizimu ni roho za ndugu zako (babu na bibi), upande wa mama yako na baba yako.Mizimu ni nani na kwa nini huzuia mafanikio ya mtu,familia au ukoo?
Zipi athari za kuifata?
Mimi ninaitwa OMOYOGWANE jina langu asili yake ni jina la kaka yake na babu yanguKwani wewe ni nani hata hivyo?
Majini na mashetani ni vitu viwili tofauti kabisa na vina uzito sanaaBado hujajua nini maana ya mizimu!
Mizimu ni mashetani wa kijini ambao wapo hai kabisa. Hakuna mizimu mizuri kwasababu inachochea ushirikina na inapenda kuabudiwa na kuombwa kama Mungu.
Mizimu ni majini waovu ama kwa jina lingine ni mashetani ya kijini.
Majini wazuri wanamuabudu na kumtii Mungu wala hawashawishi wanaadamu wamkufuru Mungu.