Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

Okey asante.

Ningependa kujua mgawanyo wa kazi wa nyuki wanapokuwa kwenye makazi yao(mzinga).

Pia nilisikia nyuki dume hatokani na fertilization kati ya sperm na ovum hii imekaaje?
Nina kila sababu ya kuja kukuposa hapa nimepata mke..πŸ˜‰
 
Asante sana boss uko vizuri.

Dah ila ningetamani kujua kibiolojia inakuwaje hao workers kupatikana bila fusion of sperm and ovum wakati kwa madume haiko hivyo!
 
Kuna kitu huwa najiuliza, ukitaka kufuga nyuki unaanzaje?

Kuna mtu kanambia we unatundika tu masega yako watakuja wenyewe. Sasa kama eneo nlilokuwepo hakuna nyuki watatokea wapi?
Tunatundika MIZINGA sio MASEGA.
Ukitaka kufuga nyuki lazima uwe na yafuatayo.
1. Eneo la kufugia, maana yake eneo lenye miti inayotoa maua.
2. Liwe linafikika kirahisi.
Liwe na chanzo cha maji si zaidi ya kilometa 5, yakiwa hapo kwenye eneo ni bora zaidi.
3. Uwe na mizinga,
4. Eneo liwe mbali kidogo na makazi ya watu, kwa kuwa nyuki wetu wa Afrika kila mtu anawajua.
5. Upate elimu kidogo ya ufugaji.
 
So hao workers wanakuwa hawana jinsia..?
Kama hawana jinsi aisee dunia haipo fair yani wanakosa utamu..au ndio maana utamu wao wanauhamishia kwenye asali..πŸ˜…πŸ˜‚
 
Asante sana boss uko vizuri.

Dah ila ningetamani kujua kibiolojia inakuwaje hao workers kupatikana bila fusion of sperm and ovum wakati kwa madume haiko hivyo!
Google "Parthenogenesis"
 
So hao workers wanakuwa hawana jinsia..?
Kama hawana jinsi aisee dunia haipo fair yani wanakosa utamu..au ndio maana utamu wao wanauhamishia kwenye asali..[emoji28][emoji23]
Tumesema ni majike lakini hawana uwezo wa kuzaa. Wao kazi tu.
 
Alafu mtu kama Kiranga anadai hakuna Mungu!!!
Hivi hao nyuki akili ya kufanya fanning process sielewi wanapewa na nani, Mwenyezi Mungu au Nature?
 
So hao workers wanakuwa hawana jinsia..?
Kama hawana jinsi aisee dunia haipo fair yani wanakosa utamu..au ndio maana utamu wao wanauhamishia kwenye asali..[emoji28][emoji23]
Wewe unawaza utamu tu[emoji3].

Malkia pekeake ndio ana sex hao workers ni kama watumwa tu yaani ni kazi mwanzo mwisho. Kazi yao ulinzi plus kutengeneza asali, you see!
 
Life span ya nyuki ni mda gani?
Inategemea localities na aina ya nyuki.
Wanasema Malkia anaishi miaka mitatu hadi minne, vibarua ni wiki chache tu, na madume mara nyingi yanauliwa na vibarua hasa panapokuwa na Asali na malkia keshapandwa. Na dume likipanda malkia hufa akimaliza kazi.
 
Wewe unawaza utamu tu[emoji3].

Malkia pekeake ndio ana sex hao workers ni kama watumwa tu yaani ni kazi mwanzo mwisho. Kazi yao ulinzi plus kutengeneza asali, you see!
Ningekuwa Mimi ningeanzisha vuguvugu la kugoma haiwezekani utamu wale wengine tu this is not fair..πŸ˜‚
 
Ningekuwa Mimi ningeanzisha vuguvugu la kugoma haiwezekani utamu wale wengine tu this is not fair..[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Huo utamu hata hawajui ni kitu gani kwanza.
 
Kuna uvumi kuwa asali inayovunwa toka maeneo yenye kuendesha kilimo cha tumbaku (mf. Tabora), asali hiyo huwa na contents za nicotine.
Je, unasemaje kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…