Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kila sababu ya kuja kukuposa hapa nimepata mke..😉Okey asante.
Ningependa kujua mgawanyo wa kazi wa nyuki wanapokuwa kwenye makazi yao(mzinga).
Pia nilisikia nyuki dume hatokani na fertilization kati ya sperm na ovum hii imekaaje?
Asante sana boss uko vizuri.Ni nyuki jike au kibarua (worker) ndiye hatokani na fertilization. (Parthenogenesis).
Kwenye mzinga kunakuwa na aina 3 za nyuki. Malkia mmoja tu kundi zima, madume machache tu say in tens or hundreds na workers ndio wengi. Kwenye kundi la say 100k bees, madume yanaweza kuwa 2000 na workers 98k. Malkia anataga mayai yote kwenye mzinga, madume hayana kazi zaidi ya kumpanda malkia tena anafanikiwa mmoja tu, kazi zingine zote zinafanywa na workers, kuanzia kutafta chakula, kulisha watoto, kusafisha mzinga, kumlinda malkia, kutengeneza Asali na kulinda mzinga.
Tunatundika MIZINGA sio MASEGA.Kuna kitu huwa najiuliza, ukitaka kufuga nyuki unaanzaje?
Kuna mtu kanambia we unatundika tu masega yako watakuja wenyewe. Sasa kama eneo nlilokuwepo hakuna nyuki watatokea wapi?
Kwanini?Nina kila sababu ya kuja kukuposa hapa nimepata mke..[emoji6]
So hao workers wanakuwa hawana jinsia..?Ni nyuki jike au kibarua (worker) ndiye hatokani na fertilization. (Parthenogenesis).
Kwenye mzinga kunakuwa na aina 3 za nyuki. Malkia mmoja tu kundi zima, madume machache tu say in tens or hundreds na workers ndio wengi. Kwenye kundi la say 100k bees, madume yanaweza kuwa 2000 na workers 98k. Malkia anataga mayai yote kwenye mzinga, madume hayana kazi zaidi ya kumpanda malkia tena anafanikiwa mmoja tu, kazi zingine zote zinafanywa na workers, kuanzia kutafta chakula, kulisha watoto, kusafisha mzinga, kumlinda malkia, kutengeneza Asali na kulinda mzinga.
Nimependa udadisi wako!.. unamaswali mazuri hebu endelea kumtwanga maswali..😅Kwanini?
[emoji3][emoji3][emoji3]aisee.Nimependa udadisi wako!.. unamaswali mazuri hebu endelea kumtwanga maswali..[emoji28]
Nyuki anakwenda kuchukua maji matamu ya maua (nectar) tunaita mbochi kwa kiswahili, anarudi kwenye sega (comb) ana regurgitate yale maji pamoja na ingredients zingine kutoka kwenye mwili wake. Hapo bado inakuwa haijawa Asali, kwa sababu ina maji mengi sana yaani nyepesi, so wakishajaza vyumba vyote hiyo nectar, wanapiga mbawa zao kwa wingi wao wana create upepo mkubwa ndani ya mzinga kiasi kwamba maji yana evaporate na kuifanya ile necta kuwa nzito zaidi, wanaendelea mpaka wakijiridhisha ipo tayari (yaani maji yawe less than 21 %) kwenye Asali ndio wanaifunga na kuihifadhi ambapo sisi tunaenda kuwa rob.
Ila posa nitaleta na kaasali kidogo au unasemaje mchumba..?😉[emoji3][emoji3][emoji3]aisee.
Wewe unawaza utamu tu[emoji3].So hao workers wanakuwa hawana jinsia..?
Kama hawana jinsi aisee dunia haipo fair yani wanakosa utamu..au ndio maana utamu wao wanauhamishia kwenye asali..[emoji28][emoji23]
Dunia haipo fair aisee..😅Tumesema ni majike lakini hawana uwezo wa kuzaa. Wao kazi tu.
Asali ulete debe moja kabisa.Ila posa nitaleta na kaasali kidogo au unasemaje mchumba..?[emoji6]
Inategemea localities na aina ya nyuki.Life span ya nyuki ni mda gani?
Ningekuwa Mimi ningeanzisha vuguvugu la kugoma haiwezekani utamu wale wengine tu this is not fair..😂Wewe unawaza utamu tu[emoji3].
Malkia pekeake ndio ana sex hao workers ni kama watumwa tu yaani ni kazi mwanzo mwisho. Kazi yao ulinzi plus kutengeneza asali, you see!
Mungu ndie kaumba nature.Alafu mtu kama Kiranga anadai hakuna Mungu!!!
Hivi hao nyuki akili ya kufanya fanning process sielewi wanapewa na nani, Mwenyezi Mungu au Nature?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ningekuwa Mimi ningeanzisha vuguvugu la kugoma haiwezekani utamu wale wengine tu this is not fair..[emoji23]