Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #81
Kuna kanisa kubwa sana Mogadishu ingawa waumini ndio wachache .Je Kuna Kanisa (Wakristo) Somalia (Mogadishu) ?
Wanaruhueiwa kuabudu ?
Hivi ni single au series hiyo muv?Huyo mwamba uliyeweka picha yake alitisha sana kwenye tambara la captain phillips. Jamaa aliuvaa uhalisia haswa.
singleHivi ni single au series hiyo muv?
Ngoja nitaitafuta.wasomali mna msimamo sana ni kweli au ni huyo moja niliekutana nae.single
Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!!
Uliza chochote…
Mr chromium
Wasomali hawawachukii wabantu tu bali wanawachukia makabila mengine pia,,,,Kwanini wasomali wanawachukia wasomali wabantu ambao walikuwa wanawaua wakakimbilia Tanga.
Tanzania inaweza uza chakula ,mazao ya mifugo kama mbuzi sana sana ndo habari ya mjini.Kuna fursa gani huko ambapo Mtanganyika anaweza kuja kufanya ama bidhaa gani anaweza leta huko na ikamlipa vizuri, pia ni bidhaa gani ambazo Mtanganyika anaweza chukua huko Somalia akaleta Tanganyika ikamlipa vizuri?
Watuja waliotembea na wasomali wakwambieJe ni kweli waria wa k za baridi?
wakutoshaUtelezi huko vipi? Unapatikana ?
Hivi Uingereza na Italy zilitawala kwa pamoja huko Usomali?Wasomali hawawachukii wabantu tu bali wanawachukia makabila mengine pia,,,,
Kwakua uislam ulisambaa kwao mapema basi waarabu walikua wakiingia sehemu nyingine za Africa Kuchukua watu wa kuuza.
Hivo wasomali huona kama wabantu ni watumwa.
Ingawa wanajua ukweli hamna watu wametumikishwa na waitali au na waarabu kama wasomali.
Wasomali wana superiority complex.
Lakini wivu pia unawasumbua hasa ukizingatia nchi zote ambazo wamekaa wabantu zinastawi na kushamili lakin wao wameshindwana hata wao kwa kwao.
Hivo chuki ya wasomali imeanza na kujichukia wao kwa wao.
Kupotea kiasili kushindwa kujijua kama ni waarabu au waafrica (identity crisis).
Hii ndio ilipelekea wafanye Genocide ya wasomali wabantu.
Asante sana kwa kusema ukweli.Kuna kanisa kubwa sana Mogadishu ingawa waumini ndio wachache .
Wengi wa wakristu hawasali katika kanisa hilo bali kwene vijikanisa mafichoni kwa kuogopa kushambuliwa na kundi la Al shababna waislam wenye misimamo mikali
Injinia Hersi kweli msomaliRais wa Uto ni msomali wa wapi
Silaha mTz utatoa wap mkuu😊.product nyingine ?Tanzania inaweza uza chakula ,mazao ya mifugo kama mbuzi sana sana ndo habari ya mjini.
Kama ni dealer wa silaha huku ndiko mahari pake hawa watu wanapenda silaha sana
Injinia Hersi kweli msomali