N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 2,785 Reaction score 3,600 Aug 12, 2024 #101 mtoto wa baba mkubwa kuoa au kuolewa na wa baba mdogo kawaida kwao.
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 2,785 Reaction score 3,600 Aug 12, 2024 #102 Hivi hapa Tanzania miji gani ina wasomali wengi ukiacha Dar es Salaam?
Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 494 Reaction score 856 Aug 12, 2024 #103 Hivi ni kweli ukibainika umeiba kitu cha mtu mwingine adhabu yake ni kukatwa kidole cha mkono wa kulia?
Hivi ni kweli ukibainika umeiba kitu cha mtu mwingine adhabu yake ni kukatwa kidole cha mkono wa kulia?
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Aug 12, 2024 #104 nyongolwe said: Hivi hapa Tanzania miji gani ina wasomali wengi ukiacha Dar es Salaam? Click to expand... Tabora.
nyongolwe said: Hivi hapa Tanzania miji gani ina wasomali wengi ukiacha Dar es Salaam? Click to expand... Tabora.
Panzi Mbishi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2021 Posts 2,231 Reaction score 2,904 Aug 12, 2024 #105 Carasco Putin said: Rais wa Uto ni msomali wa wapi Click to expand... Huu ni ukenge
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Aug 12, 2024 #106 Mr Chromium said: Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!! Uliza chochote… Mr chromium Click to expand... Hawa ma alosto ni Waafrka ila hawataki kuitwa au kujulikana kama Waafrika ni kwa sababu gani? Kwanini wanatahiri watoto wa kike mpaka leo hii?
Mr Chromium said: Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!! Uliza chochote… Mr chromium Click to expand... Hawa ma alosto ni Waafrka ila hawataki kuitwa au kujulikana kama Waafrika ni kwa sababu gani? Kwanini wanatahiri watoto wa kike mpaka leo hii?
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Feb 8, 2025 #107 Mr Chromium vipi kuhusu kutalii hali ikoje huko??
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 1,482 Reaction score 2,260 Feb 9, 2025 #108 Toka nimezaliwa mpaka leo sijawahi ona Msomali amefumba mdomo... Hii hali husababishwa na nini?