Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Kwahyo una icho kichwa pekee?
Sijaichukua bado, nilitaka nianze mchakato. Shida speakers si unajua yaweza kuwa ishu huku. Nilitaka niziandae kabisa so ikija kila kitu kiwe tayari. Sio niwe nayo halafu ndio nianze kutafuta speakers inaweza kuwa ishu baadae. Ni bora ikishindikana niache kabisa.
Au una wazo lingine?
 
Unauliza maswali lundo halafu hutoi msaada wowote. Mbona mshikaji amekupa full details?

Akili yako ina mlolongo kama jina lako
Sitoi msaada tungefika hapa
Afu mim na yeye tumekua tunawasiliana juu ya speaker issues pekee
Na mim ndio nmeuliza kujua kama anayo au launataka nitoe msaada gani mwingine ikiwa sijui kama kitu anacho au hana?
 
Sijaichukua bado, nilitaka nianze mchakato. Shida speakers si unajua yaweza kuwa ishu huku. Nilitaka niziandae kabisa so ikija kila kitu kiwe tayari. Sio niwe nayo halafu ndio nianze kutafuta speakers inaweza kuwa ishu baadae. Ni bora ikishindikana niache kabisa.
Au una wazo lingine?

Mkuu wew upo wap dar au mikoani?
Kama upo dar basi utazipata madukani zipo
Ila kama mikoani lazima uagize uzipate
Uzur mwenyewe ni fund box unaweza zitengeneza before za kupendeza zaidi
Ila kama n speaker mim kama mim ningekushauri ununue zile za sonny ambazo zipo kwa mafund nyiingi tu au za pioneer
Kwakua zile zinakuja na 6ohms na hat midzake hua hivyo
Kuliko ukinunua 4ohms ukazitengeneza 3 kweybox lazima ndani utaziparale Kwahyo directly zitashusha ohms mzee kitu ambachokitakusumbua ki mahesabu
Kwahyo kaka jaribu kwanza kwa mafundi
 
Niko Dar.
Swala la ohms si ishu muhimu kama naweza pata zote ohms sawa sidhani kama itakuwa tatizo.
Mtumbani nazikuta but nyingi hazinivutii. Bei wanaanzia laki 5 kwa pair moja za floorstanding.(hakuna surround wala center chanel)
Kwa mafundi sasa si unakuta zile za single ambazo zimetoka kwenye hi-fi za zamani. Labda tu niseme huwa sipendi vitu used. Vingi vimepitwa na wakati.
Bongo madukani huku hakuna music system kama hizi binafsi sijaona. Ninaowakuta wanazo makwao wanakwambia hawajanunua hapa nchini. Mmoja alinunua south africa, mwingine alitoa Dubai.
Napenda kitu kizuri,bora na chenye mvuto. Najari sana ubora na muonekano. Ni bora nichelewe kukipata kitu ila nipate kitu kizuri.
Kumbuka nahitaji full surround sound 5.1
Sasa nikianza kuunga unga vitu vya kutoka kwa mafundi utakuta nina speaker aina 3-5 tofauti ndani hapo itakuwa kama nimejaza mataka taka ndani.

Mfano
1625394391240.png
 
Niko Dar.
Swala la ohms si ishu muhimu kama naweza pata zote ohms sawa sidhani kama itakuwa tatizo.
Mtumbani nazikuta but nyingi hazinivutii. Bei wanaanzia laki 5 kwa pair moja za floorstanding.(hakuna surround wala center chanel)
Kwa mafundi sasa si unakuta zile za single ambazo zimetoka kwenye hi-fi za zamani. Labda tu niseme huwa sipendi vitu used. Vingi vimepitwa na wakati.
Bongo madukani huku hakuna music system kama hizi binafsi sijaona. Ninaowakuta wanazo majwao wanakwambia hawajanunua hapa nchini. Mmoja alinunua south africa, mwingine alitoa Dubai.
Napenda kitu kizuri,bora na chenye mvuto. Najari sana ubora na muonekano. Ni bora nichelewe kukipata kitu ila nipate kitu kizuri.
Kumbuka nahitaji full surround sound 5.1
Sasa nikianza kuunga unga vitu vya kutoka kwa mafundi utakuta nina speaker aina 3-5 tofauti ndani hapo itakuwa kama nimejaza mataka taka ndani.

MfanoView attachment 1842198

Mkuu ohms sio issue? Kweli?
Kwenye box moja utaweka speaker ngap? Kama zaidi ya moja basi ohms ni swala muhimu sana
Mfano umeweka speaker zote ni 4ohms hapo lazima tu uta parallel sasa ukiunganisha spika zaidi ya moja kwenye njia moja ohms zinapungua
Kwahyo assume una spika 2za 4ohms
Unadhan zinakua ohms ngapi si2
Sasa je hiyo amp yako itakubali kucheza 2ohms na isilete madhala?
Labda hiyo yakusema kua zitatofautiana nakubali
Mwanzo sikufahamu kama unataka 5channel
Basi hapo mkuu tafuta zenye 8ohms ili hata uki ziunga zisilete shida
 
Achana na michina, mbona kuna Yamaha ziko poa sana na bei pia ya kueleweka!
Bongo hakuna. Ukikuta ya mtumba nyingi za kizamani mno. Latest hazikai dukani ni ubahatishe. Amazon zinacheza million huko na shipping unakuta jumla mpaka uipate ni mil 3+. Nitajaribu hii michina isipokidhi haja mbeleni nitatafuta hizi za europe.
 
Mkuu ohms sio issue? Kweli?
Kwenye box moja utaweka speaker ngap? Kama zaidi ya moja basi ohms ni swala muhimu sana
Mfano umeweka speaker zote ni 4ohms hapo lazima tu uta parallel sasa ukiunganisha spika zaidi ya moja kwenye njia moja ohms zinapungua
Kwahyo assume una spika 2za 4ohms
Unadhan zinakua ohms ngapi si2
Sasa je hiyo amp yako itakubali kucheza 2ohms na isilete madhala?
Labda hiyo yakusema kua zitatofautiana nakubali
Mwanzo sikufahamu kama unataka 5channel
Basi hapo mkuu tafuta zenye 8ohms ili hata uki ziunga zisilete shida
Ok,ndio maana nikataka msaada kwa wataalamu wa electronic. Kwa hiyo speaker zinapoungana ohms hupungua? Hili ndio umeniongezea nilikuwa sijui. Ngoja nigoogle kwa msaada zaidi.
Mfano picha za hapo juu wanafanye kufanya kiwango cha ohms kibaki kinachokubalika(4ohms). Mfano hapo zipo hiv mid bass 2, midrange 1 na twitter 1. Hapo vyote vipo kwenye box moja. Na vyote vinapokea power kutoka chanel moja.

Kipi kitatokea endapo utaunga mbili 8 ohms kila moja. Moja 4 ohms na twitter labda au nayo 4 ohms. Au hapa ndipo kazi nyingine ya crossover inaingia? Maana midbass mbili zinaungwa parallel then midrange na twitter zinajitegemea kutokea kwenye crossover. Au mahesabu huwa yanakuwaje?
 
Ipo hivi mkuu speaker yoyote lazima iwe na mark za hasi na chanya na kwenye speaker tunazingatia vitu viwili vikuu
1ni watts
2 ni ohms

Ndani ya speaker kuna coil Kwahyo kama coil ile imezungushwa mala nyingi ndani basi speaker itakua na ohms nyingi kuliko ile iliyozungushwa mala chache
Ila je hiyo coil ina waya mnene kiasi gani ndio tunarud kwenye watts sasa
Kwahyo ikiwa waya utakua mnene bas speaker itakua na watts nyingi kuliko ile yenye kiwaya chembamba

Mbali na hayo nkirud kwenye swali lako sasa assume una channel moja ila una speaker 5 definitely hapo hizo speaker zote utaziunganisha kwenye ile njia kwa kufata rangi ya waya yaan chanya na hasi
Wewe utasema umechomeka speaker 5 ila mashine itahesabu kama umeweka speaker moja ila yenye watts nyingi[emoji2] sijui kama umenielewe chukulia mfano hapa chini hiz ni speaker 2 zenye ohm8 zote
Ila unapozikutanisha pamoja zote postive kwa postive na negative kwa negative hapo unakua ume parallel na kanuni ya ku parallal ni kuchukua ohms ya speaker moja kisha unagawa kwa idadi
Mfano hapo ni 8ohms 2 ukichukua nane gawa kwa 2 Kwahyo kadri unavyoziongeza basi unagawa kwa idadi ya jumla ya zote
Sasa wakuambia weka 4 ohms
Wew umeweka speaker 3za 4ohms utakua na ohms ngap?jibu ni 1ohms point kadhaa sasa je huoni kama utaharibu redio?
IMG_3726.jpg
hi ya series ni ngumu na wengi hawaelewi jinsi yakutumia ki kawaida
Ila n kama uonavyo hapo ni kufuatanisha tu terminal na hi ni kua inaongeza ohms lakin muziki utakua mdogo sababu unaongeaza ukinzani (ohms) za speaker

IMG_3725.jpg

Kwa faida tu uliwah kujiuliza kwanini kwenye ma basi kuna vi speaker vingiiii mule juu karibu kila seat na redio mbele inataka 4ohms unadhan zile waya zote zinaenda kwenye redio moja kwa moja Hapana
Jibu ni kua either watengeneze speaker zenye ohms hata 30ili waki parallel wazishushe au wafanye series
 
View attachment 1842442hi ya series ni ngumu na wengi hawaelewi jinsi yakutumia ki kawaida
Ila n kama uonavyo hapo ni kufuatanisha tu terminal na hi ni kua inaongeza ohms lakin muziki utakua mdogo sababu unaongeaza ukinzani (ohms) za speaker

View attachment 1842443
Kwa faida tu uliwah kujiuliza kwanini kwenye ma basi kuna vi speaker vingiiii mule juu karibu kila seat na redio mbele inataka 4ohms unadhan zile waya zote zinaenda kwenye redio moja kwa moja Hapana
Jibu ni kua either watengeneze speaker zenye ohms hata 30ili waki parallel wazishushe au wafanye series
Nakuelewa vyema.

Sasa nataka nikupe home work. Mfano hapa nataka niwe na floorstanding standing yenye midbass 2 kila moja ohms 8. Tuashume watt ni 100. Then niwe na midrange 8ohms watt 100. Halafu nina Twitter 1 8ohms watt 50.

Embu nipangilie hapo.
(Ila kwa mahesabu hayo ina maana kwa mfumo wa series hata za 2ohm mbili naweza unganisha coz hesabu itarudi 4ohms)

Ingiwa kwa mfumo wa series hapo ulionipa nitapata hivi.(nimefikiria tu)

In series way midbass 8ohms + 8ohms = 16 ohms
Wakati huwa nitaongeza 8 ohms nyingine ya midrange so nitarudi kwenye 8 ohms. Wakati huo kuna twitter ina 4 ohms. Hapa kihesabu si nakuwa nimekaa mahala pake?
Wakati huo watt zitasoma ngapi totally?

Swali la ziada amplifier inatoa watt 100 max per chanel. Ila speaker yangu max ni watt 200, mfano. Sasa je inaaffect chochote. Au hiyo watt hiyo ni kiwango cha juu endapo utafungulia sauti hadi mwisho haitakuwa na madhara yeyote?

Kitu ambacho najiuliza how hiz kampuni za speaker wanaweza kuunga vyote hivyo tena mpaka speaker 6 kwa chanel moja. Huku Onkyo amplifier yangu mfano inatoa watt 100 tu. Na bado napata sound nzuri.
Mfano speaker hii👇 ya acoustic energy AE520 ohms 6 watt 300 (usinichoke mkuu najifunza)😂😂
 
Mkuu kelphin kepph
 
Hapana subwoofer zipo na aina nyingi
Nyingi zake ni 8ohms
4ohms na 2ohms
Ila kaka haaaweki hivyo kwa kupenda tu kuweka kuna specification zinazowaongoza kufanya hivyo
Ndani ya subwoofer kuna amplify
Amplify inapotengenezwa hutumia either ic,transistors sasa kama utatumia ic kila ic inakua na sheria zake na ukikiuka utapata moshiii[emoji23]
Mfano mdogo sana suka amp ya tda 2030 kisha ipe 25v afu weka hivo 2ohms afu uone moshi
Kwahyo ikiwa utasuka ya ic kila ic inakuja na matakwa yeke
Ivyo ni wew tu kuchagua
Nkuambie tu kua subwoofer zinazotumia transistor mala nyingi inakua inataka utumie 4ohms
Ikiwa inatumia ic hapo ndio mziki unapoanzia kwakua kila ic inakua na guide zake
Na wanakuambia pale kwenye maelezo yao watengenezaje
Pia kuna vitu vinaitwa bridge kwenye amp
Kwahyo kifupi hawatumii tu speaker kwa kupenda Hapana kuna specifications zinafuatwa
Hivi hili neno bridgeable linamaanishaga nini kwnye amplifier?
 
Back
Top Bottom