Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
kelphin kepph mkuu unapotaka kununua radio watt ina maana gani? Je watt zikiwa kubwa ndio radio inatoa ama.

Nilifanya uchunguzi kidogo online nikakutana na kitu kinaitwa impedence. Lakini sijawahi kuona inapoandikwa

Mkuu watts is unit of energy
Yaan watts ni nguv ya kufanya kazi
Kifaa chochote cha umeme kikiwa na watts nyingi basi hua kinatumia units nying za umeme
Taa ikiwa na watts nyingi basi itakua inawaka mwanag mkali kuliko yenye watts chache
Vivyo hivyo kwenye pasi
Heater na vitu vyooote!
Tukija kwenye redio ni kua
Ikiwa na waats nyingi maana yake inatoa mziki mkubwa wenye sauti kubwa

Ila kwenye speaker kuna vitu viwili
Watts na impedance

Ukiifungua speaker ndani kuna coil ...kama unavyoona hapo ndani
Hiyo coil imezungushwa kwenye cone(karatasi ngumu ya duara) wengine hutumia kibati kilaini mfano wa chupa ya redbull au energy za bati
Ila sasa je hiyo coil imezungushwa kwenye hiyo corn mala ngapi.....? Ikiwa itazungushwa mala nyingi basi ohms zitakua nyingi
Kwahyo let say una corn mbili zenye unene sawa
Moja ukazungusha mala 20 nyingine 40
Maana yake ile yenye 20 itakua na ohms 4 na ile yenye 40 itakua na ohms 8
Na speaker zote huandikwa ohms yake!
Lakini je hiyo coil imetumia waya mnene kiasi gani!
Hapa ndio unapata watts
Kwahyo ikiwa ina waya mnene sana basi inakua na watts nyingi
Ikiwa na maana kua inaweza kubeba umeme mwingi sana kwenye kutok kwenye radio
Ikumbukwe kua hivi vitu viwili vyote inabidi kuvizingatia haswa!
Mfano yale ma amplify makubwa unakuta nyuma wamekuambia weka spik ya watts 10000 ila 4ohms
Je ukiweka ya watts 10 ila ohms8 kitatokea nin?[emoji6][emoji6] jibu ni kua itawaka majivu matupu
Kwakua ina kiwaya chembamba san ndani Kwahyo hakuwezi kubeba yale ma currents

[emoji23][emoji23][emoji23] ukielewa hayo nambie nmalizie kitu kidogo kilichobakiView attachment 1807703
 
Maelezo yako mazuri sana afu ya kitaalamu. Impedence umuhimu wake kwenye spika ni nn,kweli kila spika imeandikwa. Mf. Nina spika 1 ya aiwa imeandikwa 6 impedence, hata hiyo Sony kwa nyuma imeandikwa hivyo je kuna umuhimu wa kuzingatia unavyochagua spika
 
Kuna majina coomon ya vitu na majina yakitaalamu ya kitu
Ndio maan utasikia “hiki kitaalamu kinaitwa.....”
Sasa impedance ni kitaalamu sawa na ohms
Kwahyo ni sawa na kusema ohms
Yess ohms ni ukinzani wa waya ya speaker
Yaan ile coil ya ndani ina urefu kiasi gani
Ila unene wa coil hiyo hapo unaongelea watts[emoji1]

Labda nikuambie hiv
Ndani ya redio zote na subwoofer kuna AMPLIFIER
sasa amplify inapotengenezwa inatengenezwa kuendesha speaker za ohms furan na watts furani
Sasa hiv vyote kwapamoja ni vyema kuvizingatia
Na kinapopuuzwa kimoja wapo utaharibu either speaker au redio
Au vyote kiujumla!
 
Nini kinachofanya speaker itoe BASS au speaker hiyohiyo itoe sauti nyembamba ukibadili EQ

Swali zuri

Amplify ni output device inayokupa matokeo ya input

Namaanisha kua
Ukipanda maindi yataota maindi
Kama umeingiza signal za tweeters kwenye amplify(sauti nyembamba sana) basi amplify itatoa sauti ile ile ila kubwa kwasababu kaz ya amplifier ni kuongeza saut sio kubadili aina ya music
Kuna equalizer na crossover vyote hivyo ndio vinafanya kazi hiyo
Vinaipa amplfy yenyewe inaongezea inatoa kama kilivyoingia
Speaker itafuata music wa amplifier tu
 
Sijaona sehemu yake mkuu,unazo woofer?

Woofer ni bass speaker
Sasa inategemeana kuna redio zingine wanakuwekea pin za kuchomeka ila speaker hawakupi utafute mwenyewe na wanakuambia kabisa hyo speaker iwe na watts ngap na ohms ( impedance) ngap
 
Naomba unifafanulie kuhusu hapa.

Midrange
Fullrange
Midbass.

Najuaje kuwa hii speaker ni midrange,fullrange au midbass.

Sub za kichina nyingi ni ohms 2 watts 80 - 100 tu kwa sub na zile chanel mbili ni ohms 4 tu kwa kila moja. Kwanini wanatumia sana 2ohms?

Amplifier nyingi zimeandikwa tumia 4 - 16 ohms.
Kama nataka kuunda mziki wangu binafsi kati ya 4 ohms na 8 ohms unashauri nitumie speaker ya ohms ngapi?
Nataka niwe na floorstanding yenye driver tatu. Midrange 2, full range 1, twitter 1.
Kila driver (midrange) ina watt 100. Je floor standing moja itakuwa na jumla ya watt ngapi au inabaki kuwa watt 100?

How about crossover, ni muhimu kuitumia? Mfano kwa floor standing hapo nitahitaji cossover ya njia ngapi?

Center chanel nahitaji full range mbili twitter 1.
Surround speakers(bookshelf) full range 1, twitter 1 kwa kila moja.
Nazo bado ni muhimu kutumia crossover.

Mwisho kuna vitu gani muhimu napaswa kuzingatia?
1625394124850.png
 
Mwisho kuna vitu gani muhimu napaswa kuzingatia?View attachment 1841876

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu punguza hasira [emoji23]

Anyway nakujibu moja moja
 
Back
Top Bottom