Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Kuna hii Panasonic sa ht880 nimeikuta mahala ila haina sound poa. Connections zipp sawa nn shida?
 

Attachments

  • 16621662282803833983983224051614.jpg
    16621662282803833983983224051614.jpg
    496.4 KB · Views: 30
Kama subwoofer yako IMESHINDIKANA KUTENGENEZEKA au haina mziki mzito unataka ipige zaidi ya hapo njoo sitta electronics tukufungie saketi rahisi sana au hata kama una mziki unataka uwe na out put ya sehemu ya bass spika kama subwoofer njoo tukufungie saketi bora kabisa tunatengeneza wenyewe kabisa na warranty tunakupa bila shida.
Angalia hiyo booster ya candy tumefunga saketi yetu inayosukuma full range 2 za fideki kanisani kama huamini njoo ukashuhudie. Sasa tunaweza kukufungia saketi hiyo kwenye mziki wako ukapasue nyumba yako.
KWA DSM, OFISI YENU IPO WAPI ILI NILETE SUBWOOFER YANGU KWA AJILI YA KUIPA NGUVU ZAIDI?
 
Kwa experience yangu binafsi... I own a set of 2 powered bookshelf speakers from Klipsch, zinaitwa The Fives... they are small, But they have a TON of Bass kiasi kwamba mtu huhitaji hata kuongezea subwoofer(ingawa ina option ya kuadd subwoofer ikiwa mtu atahitaji)

The amount of Bass is HUGE and enough, na hizo ni just 2 small bookshelf speakers,not towers.

So, even a well sub-premium speaker can deliver a lot and lot of Bass bila hata kuhitaji subwoofer, tusikariri.
Haipingwi hio mzee, nina jirani alikuwa na ONKYO setup ya tower bookshelf, center, subwoofer.

Subwoofer yake ilizingua ila mziki aliokuwa akiupiga bila subwoofer ulikuwa umejaa na hio ni kwa center speaker tu na bookshelf. Akiturn up vol kwa 15% tu ni hatari. Sema tu setup kama ile ni expensive sana.
 
na anaunda home audio system kupitia hzo car system audio

kuna project 1 alikuwa ana advertise huko nyumbani kwake kafunga mziki wa gari

ilikuwa ni balaa hyo set up

Kuhusu uboara wa sauti sina shaka kwa hilo
na anaunda home audio system kupitia hzo car system audio

kuna project 1 alikuwa ana advertise huko nyumbani kwake kafunga mziki wa gari

ilikuwa ni balaa hyo set up
Chnagamoto itakuja kwenye muonekano. Kama kuna jambo huwa nazingatia basi ni muonekano wa kitu. Sijisifu hata hizi tower zangu mbali na ubora wa sauti lkn mwonekano unamvutia mtu. Mwisho wa siku sio unaweka vtu ndani lkn inaonekana kama umejaza matakataka..
 
Yaani huwe na mmbox huu wote hukose low frequency????😀😀😀😀😀
Tayari hapo kila box lina woofer chini, tena hii channel 2.0 tu
View attachment 2340052
Hizi zenye speaker ubavuni nyingi zina subwoofers 😂 ila furaha yangu ni kuipata ile 26Hz to 3OHz spectrum. Hapo ikichanganywa na mids kidogo na crispy highs basi mziki unakuwa ni balaa zito.
 
Speakers lazima ziwe neat looking sio mispika inakuwa imekaa kama poti la mtoto la kujisaidia😂
Kuhusu uboara wa sauti sina shaka kwa hilo

Chnagamoto itakuja kwenye muonekano. Kama kuna jambo huwa nazingatia basi ni muonekano wa kitu. Sijisifu hata hizi tower zangu mbali na ubora wa sauti lkn mwonekano unamvutia mtu. Mwisho wa siku sio unaweka vtu ndani lkn inaonekana kama umejaza matakataka..
 
kinacholinganishwa ni best value for money

mfano anker motion boom ama mifa wildbox wanafukuzana na jbl extreme 3

ambapo jbl hpo ina bei karibu mara 3 ya wengine

lakin wako karibu kwenye same class

vilevile sony xb43 ina compete jbl boombox

ila jbl bei kali zaidi

kodtec at his price point na anachodeliver hakuna wakucompete.

yaani sound ya 400k inakupa vitu vilivyo kqribu kwnye sound ya 1.2m+

kwann usiappriciate?
Hapa ndio hasa mnapopishana, jamaa wanazungumzia name brands ila kwa kipato cha wengi hatuzimudu hizo redio za Klispch, SVS ama sijui Polk Audio. Those are indeed expensive.

Ila kwa level yetu wengi ya miziki ya 200K-1000K Sony huwa ndio mtawala wa sound arena. JBL amekuja on top of Sony kwa affordability ila quality still hawajaachana sana.

Ila tukija in terms of perfomers ndio tunagundua kumbe kuna underdogs ambao wanaweza kuwazidi hata giants kwa perfomance ndio tunakutana na watu kama Kodtec. Hatuongelei ushabiki ila kwa music enthusiasts kama mimi nimesikiliza sound nyingi sana. Nikisikia mziki wa kweli naujua 😂😂😂 regardless ya brand name.

Kodtec wanaweza kupitia hizo speakers zao za subwoofer wanaweza kutengeneza best sounding bass speakers. Ukiniambia tofauti ya quality ya bass ya JBL na hawa Kodtec ntakwambia ni almost unnoticed ila JBL anaweza kuwa na crispy highs kumzidi Kodtec.

Ukija kwa Sony technically bass production ya Kodtec iko vizuri kuliko mule. Bei sasa ndio utacheka maana Kodtec haina jina sokoni kama Sony ni ngumu kumshawishi mtu anayependa name brands ila music enthusiast can easily tell the difference.
 
Back
Top Bottom