Wilaya inaendelea sana sasa hivi na wala hakuna mtu anayekimbia utakuwa una chuki binafsi
Kiongozi unajitahidi sana kuipa sifa nzuri huko Sikonge,lakini pia jitahidi kupokea sifa mbaya za Sikonge.Kumbuka watu wanazunguka hivyo wameona mengi.
Kuna member kazungumzia maswala ya utumishi wa umma
Sikonge(Unyamwezini),nilikuwa na jamaa yangu ni mtumishi wa umma huko alikuwa akinisimulia mambo ya huko sikuamini mpaka nilipoenda kujionea katika muda wa miezi kadhaa.
Ni kweli gharama ya ardhi huko ni ndogo,gharama ya jiko na upatikanaji wa asali pia.
Lakini kumbuka kuwa maisha si hayo tu,MAISHA YANAJUMUISHA KWA KIASI KIKUBWA SANA JAMAA UNAYOISHI NAYO na hapa ndipo kwenye changamoto kubwa ya huko Sikonge.
Kwanza wanyamwezi hawapendi uendelee rejea matukio ya wizi hapo Sikonge mjini ni matukio wanayofanyiwa watu wakuja,pia rejea kifo cha 2 majengo.Hii inatokana na uvivu wa kufanya kazi hivyo kuwa masikini wa kutupwa hasa vijijini.Uvivu unazaa chuki dhidi ya watu wakuja.Juzi nilisikia madiwani uchwara wenu wamemfukuza mtumishi kwa kuiba hadubini lakini kimsingi mtumishi huyo alishinda kesi mahakani wanyamwezi wakaona kuliko kumlipa mtumishi huyo ni vyema wamfukuze kazi kabisa(Wivu).
Pili wanyamwezi ni washirikina sana,kwao ushirikina ni jambo la kawaida sana.Nikupe siri moja tu kuwa wanaume wanapokuja huko kwa mambo kadhaa huusiwa na ndugu zao kuwa unapoenda huko uwe makini na wanawake wa kinyamwezi(namshukuru ndugu yangu alielewa sana hili mpaka anahama huko).Pia ushirikina upo katika mambo mengi hivyo unapoenda huko yamkini ujipange.Uzuri wao wakikushindwa kukuroga watakuambia tu.
Tatu wanyamwezi wa Sikonge ni wanafiki na wafitinishaji sana,nadhani hii inatokana na uvivu wao wa kufanya kazi hivyo kuwapa muda wa kufanya hayo.
Niseme tu kwamba ndio siku zote kinachovutia mtu kuishi eneo fulani ni jamii inayomzunguka,Sikonge ni wilaya kubwa kuliko wilaya yoyote mkoani Tabora lakini ndo wilaya yenye wakazi wachache mkoani humo.Jiulize kwanini wilaya zingine zina wakazi wengi?
KUTOKANA NA MAMBO HAYO HUWA NIPO MAKINI SANA NA MNYAMWEZI POPOTE KATIKA DUNIA HII WANASEMA TABIA NI KAMA RANGI YA NGOZI TU.