Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Linaweza kuwa chimbuko na ikawa hulielewi mkuu
Mkuu siitaji ligi na wew.... itoshe kusema ni sehemu moja ya hovyo sana...Ni sehemu ambayo Ina ushirikina mwingi Sana.......

Mkuu Naomba usijisumbue tena kunijib KILA mtu achukue time zake pia endelea kuamini KUA sikonge ni eneo ndani ya mji wa TORONTO.
 
Nimekusoma mkuu hajielewi huyo
Mkuu siitaji ligi na wew.... itoshe kusema ni sehemu moja ya hovyo sana...Ni sehemu ambayo Ina ushirikina mwingi Sana.......

Mkuu Naomba usijisumbue tena kunijib KILA mtu achukue time zake pia endelea kuamini KUA sikonge ni eneo ndani ya mji wa TORONTO.
 
Wilaya ya Sikonge ipo Kusini ya Mkoa wa Tabora, Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui Kaskazini na upande wa Mashariki inapatikana na Mkoa wa Singida.

Kusini inapakana na Mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi inapatikana na Mkoa wa Katavi na upande wa Magharibi inapatikana na Wilaya ya Urambo.

Wenyeji wa Wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.

Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga. Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.

Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Wilaya Zingine mtu ukihamishiwa kikazi unaweza kuacha na kazi yenyewe kama huko Sikonge au Chato
 
Ngoja anaesumbua anajulikana kwa jina la Koboko (Cobra) ambao kwa maeneo ya wilaya ya Sikonge hupendela kuishi katika mashimo ya visuguu au katika mapango ya miti
Wewe acha kudanganya watu. Inaonekana wewe ni wakuja hapo Sikonge na hujui lolote. Koboko ni Black Mamba, sio cobra.
 
Mkuu naona kama umekuja na kajaziba kidogo tatizo si anzisha thread yako
Wewe acha kudanganya watu. Inaonekana wewe ni wakuja hapo Sikonge na hujui lolote. Koboko ni Black Mamba, sio cobra.
 
Namchukia sana mkurugenzi na DED wa hiyo wilaya, yaani ningepata hata sehemu wanapouza uchawi ningenunua kwajili ya hao maqumer.
 
Wilaya inaendelea sana sasa hivi na wala hakuna mtu anayekimbia utakuwa una chuki binafsi
Kiongozi unajitahidi sana kuipa sifa nzuri huko Sikonge,lakini pia jitahidi kupokea sifa mbaya za Sikonge.Kumbuka watu wanazunguka hivyo wameona mengi.
Kuna member kazungumzia maswala ya utumishi wa umma

Sikonge(Unyamwezini),nilikuwa na jamaa yangu ni mtumishi wa umma huko alikuwa akinisimulia mambo ya huko sikuamini mpaka nilipoenda kujionea katika muda wa miezi kadhaa.
Ni kweli gharama ya ardhi huko ni ndogo,gharama ya jiko na upatikanaji wa asali pia.
Lakini kumbuka kuwa maisha si hayo tu,MAISHA YANAJUMUISHA KWA KIASI KIKUBWA SANA JAMAA UNAYOISHI NAYO na hapa ndipo kwenye changamoto kubwa ya huko Sikonge.

Kwanza wanyamwezi hawapendi uendelee rejea matukio ya wizi hapo Sikonge mjini ni matukio wanayofanyiwa watu wakuja,pia rejea kifo cha 2 majengo.Hii inatokana na uvivu wa kufanya kazi hivyo kuwa masikini wa kutupwa hasa vijijini.Uvivu unazaa chuki dhidi ya watu wakuja.Juzi nilisikia madiwani uchwara wenu wamemfukuza mtumishi kwa kuiba hadubini lakini kimsingi mtumishi huyo alishinda kesi mahakani wanyamwezi wakaona kuliko kumlipa mtumishi huyo ni vyema wamfukuze kazi kabisa(Wivu).

Pili wanyamwezi ni washirikina sana,kwao ushirikina ni jambo la kawaida sana.Nikupe siri moja tu kuwa wanaume wanapokuja huko kwa mambo kadhaa huusiwa na ndugu zao kuwa unapoenda huko uwe makini na wanawake wa kinyamwezi(namshukuru ndugu yangu alielewa sana hili mpaka anahama huko).Pia ushirikina upo katika mambo mengi hivyo unapoenda huko yamkini ujipange.Uzuri wao wakikushindwa kukuroga watakuambia tu.

Tatu wanyamwezi wa Sikonge ni wanafiki na wafitinishaji sana,nadhani hii inatokana na uvivu wao wa kufanya kazi hivyo kuwapa muda wa kufanya hayo.

Niseme tu kwamba ndio siku zote kinachovutia mtu kuishi eneo fulani ni jamii inayomzunguka,Sikonge ni wilaya kubwa kuliko wilaya yoyote mkoani Tabora lakini ndo wilaya yenye wakazi wachache mkoani humo.Jiulize kwanini wilaya zingine zina wakazi wengi?

KUTOKANA NA MAMBO HAYO HUWA NIPO MAKINI SANA NA MNYAMWEZI POPOTE KATIKA DUNIA HII WANASEMA TABIA NI KAMA RANGI YA NGOZI TU.
 
Back
Top Bottom