Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

[emoji3][emoji3][emoji3] kumbe habari zake unazo.ngoja ntafuatilia kwa walio wahi kumuona
Oohooo, yani Koboko hata akikugonga ukiwa Hospital huponi mzee.
Na ana uwezo wa kuifukuzia gari hadi aipate awagonge vichwani bila kujali ni umbali kiasi gani
 
Kuna hoteli moja tu nzuri, kuku wa kuchoma wapo sehemu moja tu (kwa mujibu wa muda nilipopita huko) wilaya ni kubwa mno mno mno. Wakati tunapita maporini tuliambiwa tusiache vioo vya gari wazi tusijegongwa na koboko.

kuna muhenga humu anaitwa Sikonge
 
Wanaiba sana hasa kwa wageni wanasema ni wakuja
 
Mi nilifika PANGALE nikajiokotea pisi kali mtoto mkali mmoja ana saloon hapo pangale, mama yusra popote ulipo nitarudi tena pangale UMENITEKA
 
Sikonge Wadada Waarabu Wengi sana wanaolewa mpaka na wapiga debe, raha sana dada zetu pande hiyo hawana ubaguzi.
Kwani huo uarabu ni jambo la utofauti sana au ni zaidi ya uafrika
 
Je sikonge ipo karibu na hifadhi ya Taifa kigosi?
 
Kwanini Mkurugenzi wenu anagoma kusaini barua za uhamisho wa wafanyakazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…