Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

[emoji3][emoji3][emoji3] kumbe habari zake unazo.ngoja ntafuatilia kwa walio wahi kumuona
Oohooo, yani Koboko hata akikugonga ukiwa Hospital huponi mzee.
Na ana uwezo wa kuifukuzia gari hadi aipate awagonge vichwani bila kujali ni umbali kiasi gani
 
Kuna hoteli moja tu nzuri, kuku wa kuchoma wapo sehemu moja tu (kwa mujibu wa muda nilipopita huko) wilaya ni kubwa mno mno mno. Wakati tunapita maporini tuliambiwa tusiache vioo vya gari wazi tusijegongwa na koboko.

kuna muhenga humu anaitwa Sikonge
 
Umeongea fact sana[emoji120],la nyongeza wanaume wa skg ni wavivu sikonge imechangamshwa na watu kutoka nje mkoa wa Tabora hususan watumishi wa serikali pamoja na wa sector binafsi, mfano waliojenga nyumba nzuri nzuri,na wenye biashara za kueleweka ni watu kuja(wazawa wanapenda kazi laini laini hususan kuwaabudu na kuwatumikia mkoloni wao mwaarabu)
Wanaiba sana hasa kwa wageni wanasema ni wakuja
 
Mi nilifika PANGALE nikajiokotea pisi kali mtoto mkali mmoja ana saloon hapo pangale, mama yusra popote ulipo nitarudi tena pangale UMENITEKA
 
Sikonge Wadada Waarabu Wengi sana wanaolewa mpaka na wapiga debe, raha sana dada zetu pande hiyo hawana ubaguzi.
Kwani huo uarabu ni jambo la utofauti sana au ni zaidi ya uafrika
 
Je sikonge ipo karibu na hifadhi ya Taifa kigosi?
 
Kwanini Mkurugenzi wenu anagoma kusaini barua za uhamisho wa wafanyakazi?
 
Back
Top Bottom