Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hapo ABC viwanja vya relin mnanda uliwaka hapo daaahLong time kitambo Born Town,wapi Surelele,wapi Manila,wapi Boys Brazil,wapi Ajax Mzamba,wapi Manova,Wapi Underdox,Wapi Puma,wapi Jogoo Fresh,wapi Target,wapi TP of Soccer,Kiembe Samaki,wapi ABC,wapi Gusta
Broh kujaza uzi sio tatizo. Weka nyimbo tuburudike. Namkubaligi sana Lupozi (R. I. P)Huo wimbo wenyewe ni Hisani Gari kubwa(Meli ya sumu),binafsi nina hazina ya kutosha kwenye maabara yangu ya Mchiriku/Mnanda/Limba.So kila mtu akitaja yake uzi utajaa manyimbo tu,ww nifuate dm nikutumie wangu.
Kuna nyingine wanakwambiaEnz hizo maeneo ya TAA NYEKUNDU hadi SANDALI njoo farmer gusta hatari tupu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hiyo nyimbo imeimbwa na bend ya Atomic Music"Sauti ya utawala",inaitwa Kipaka memory.Its a true story about Kipaka's death.Kuna nyingine wanakwambia
Tulikuwa tumekaa maskani
Maskani famagusta
Mara washkaj wanatuambia
Kicheko katutoka
Sie yeye peke yake.
Nyingine ilikuwa
Atakufanyia hila
Na rumande akuweke
Uijutie duniaaaa
Kila shetani na mbuyu wake.
Mziki wa mnanda nao una vijembe na michambo ya kiaina,kule Mwananyamala (Kinondoni tune)kuna zama vilitawala vijembe hususani kati ya bendi ya Jagwa"Dege la jeshi" na Chaukucha Family(Watoto wadogo waliokomaa vichwa).Navyo vilizidi kuchagiza burudani kwa wapenzi wa mziki huu.Na kuna wimbo pia wanaimba hivi.
Sisi tunaokwambia,tupo kwenye fani
Sasa mwenzangu na mie upo mashakani
Hao raia mtaani hawana utani
Tena wanaua hawana imani.
Huu nao nadhani wameimba Chaukucha family ila sijui unaitwaje,nauhitaji
Story kuhusu Boniface Machupa alieimbwa na Legendary wa mziki wa mchiriku kutoka bend ya Jagwa marehemu baba J kiukweli sina,lakini labda unitume(as a mdau)ili nimtrack na kumjua vyakutosha ili nikujuze.Kwa kuwa mkononi nina connection ya kutosha ya wasanii na wadau wa kutosha wa mchiriku kutoka Mwananyamala(Kinondoni tune).mkuu namichiga unaijua story ya boniface machupa aliyeimbiwa na jagwapole jenerali by baba j(r.i.p)
poa mkuu, ukipata utujuze pamoja!Story kuhusu Boniface Machupa alieimbwa na Legendary wa mziki wa mchiriku kutoka bend ya Jagwa marehemu baba J kiukweli sina,lakini labda unitume(as a mdau)ili nimtrack na kumjua vyakutosha ili nikujuze.Kwa kuwa mkononi nina connection ya kutosha ya wasanii na wadau wa kutosha wa mchiriku kutoka Mwananyamala(Kinondoni tune).
Mkuu ahsante kwa ufafanuzi wako,ila mimi nakutuma naomba nitafutie hizo nyimbo nilizoomba hapo juu,alafu mwanzo hawa Efm walikuwa wanapiga mnanda ijumaa na jmos kuanzia saa tano usiku mpaka saa saba usiku,lakin siku hizi wanapiga kuanzia tano kamili mpaka tano na nusu wamemaliza.wanatunyima uhondoMziki wa mnanda nao una vijembe na michambo ya kiaina,kule Mwananyamala (Kinondoni tune)kuna zama vilitawala vijembe hususani kati ya bendi ya Jagwa"Dege la jeshi" na Chaukucha Family(Watoto wadogo waliokomaa vichwa).Navyo vilizidi kuchagiza burudani kwa wapenzi wa mziki huu.
Najua unetumwa na baba mwenye nyumba haya kutufanyia , bendi gani wameimba hivo na wimbo unaitwaje mdau