Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hatimaye nimeupata 🙏🙏🙏Nyimbo yake inaitwa "Kipaka Memory" waimbaji ni Atomic Advantage Music (Omary Omary) kwenye albam no.3 (Atomic Vol.3) mwaka 96
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye nimeupata 🙏🙏🙏Nyimbo yake inaitwa "Kipaka Memory" waimbaji ni Atomic Advantage Music (Omary Omary) kwenye albam no.3 (Atomic Vol.3) mwaka 96
nyimbo ya "sure" nitaipata wapi kwenye mtandaoWana jamvi,mimi ni mdau mkubwa wa mziki wa mchiriku/mnanda. Mziki ambao ulitawala na kujizolea umaarufu mkubwa kwenye miaka ya 90 hadi 2000,binafsi nimekulia kwenye jamii yenye kuhusudu mziki huo na hivyo kifuani kwangu nina hazina ya kutosha kuhusu mziki huo hatua kwa hatua tangu ulipotokea hadi ulipokuja kuanguka baada Serikali kuingilia kati kutokana na matendo yaliyokua yakifanywa na mashabiki na wapenzi.
Isitoshe nimefanya documentary yangu binafsi kwa kuwatembelea na kuwahoji waliokua/na waliopo kwenye fani hiyo na hivyo kujikusanyia hazina ya kutosha kuhusu mziki huu.
Karibuni wapenzi wa mziki huu tubadilishane mawazo.
"Sure" ipi?,maana kwa haraka haraka inanijia nyimbo ya kifo cha Kassim Sure (Baba Omary),ambayo imeimbwa na band ya Seven Survival kwenye albam no.3 mwaka 98.Sasa tupe ufafanuzi ili nijue namna ya kukusaidia [emoji125][emoji125][emoji125]nyimbo ya "sure" nitaipata wapi kwenye mtandao
Mkuu hebu jaribu kukumbuka vizuri hiyo mistari,maana kwenye band nyingi za mchiriku jina la Asha limetajwa.Lakini Alipotajwa Asha kama mtoto ni kwenye band ya Atomic kwenye mfululizo wa nyimbo za baba Asha,lakini kwenye band nyingine nyingi Asha katajwa kama mpenzi,mfano Jagwa Music Vol.4 kuna Asha,Seven Survival Vol.3 & 4 kuna Asha,Kombora Music Vol.1 kuna Asha, Atomic Vol.18 kuna Asha.Lakini humo mote anatajwa kama mpenzi,sasa hebu kumbuka vizuri hayo mashairi ya Asha kama mtoto [emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu kuna nyimbo moja inaimba "wewe dada asha mimi hapa baba yako...yani huyo asha kama anahusiwa jambo flani hivi....vipi unaujua huu Namichiga
sure aluka karandinga"Sure" ipi?,maana kwa haraka haraka inanijia nyimbo ya kifo cha Kassim Sure (Baba Omary),ambayo imeimbwa na band ya Seven Survival kwenye albam no.3 mwaka 98.Sasa tupe ufafanuzi ili nijue namna ya kukusaidia [emoji125][emoji125][emoji125]
iyo nyimbo inahusiana na muhuni anaitwa sure , humo kwenye nyimbo wanamwelezea huyu sure matukio aliyo yafanya, kipindi cha komando yossoMbona mkuu mashairi ya huo wimbo uyaweki sawa?,kwa mfumo huo itakuwa ngumu kupata majibu juu ya swali lako [emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha karibu Sana nanjirinji tulime ufuta mkuuRuangwa jirani na Mbekenyera[emoji28][emoji28][emoji28]
Chichi Baunsa alikua ni mpiga ngoma (Sondo) na alijiunga na Seven Survival akitokea band ya Tokyo Ngoma aliyokuwa na maskani yake Tandika.Na kuhusu asili ya makazi yake sina uhakika sana kwani nimemjulia ukubwani na sikuwahi kwenda indeep kuhusu hilo.Hivi chichi baunsa alikuwa anahusika na nini 7survival kitengo chake
Maskani Yao ilikuwa mtoni au
Tandika ndugu
Kama ulikuwa unauliza kuhusu maskani ya band ya Seven Survival,jibu lipo kama ifuatavyo:Band ya Seven Survival wakati inaasisiwa mwaka 97 maskani yake ilikuwa ni Temeke kwa Sokota na jina la band lilikuwa ni Survival Original na mmiliki wa band alikuwa ni kaka mkubwa Masoud Zoba,na wakatoa Vol.1 maarufu iliitwa Champisi.Hivi chichi baunsa alikuwa anahusika na nini 7survival kitengo chake
Maskani Yao ilikuwa mtoni au
Tandika ndugu
Mkuu ngoja nizidi kupekua makablasha yangu kuhusu band za kanda ya Kinondoni,kuanzia Hisani Gari kubwa,Tumaini Jabali,Chaukucha Family,Wanyamwezi, Jagwa na hata Dar Nyota ili nitafute wimbo wenye huo ujumbe wako.Maana ingekuwa rahisi sana ungetaja japo band [emoji125][emoji125]iyo nyimbo inahusiana na muhuni anaitwa sure , humo kwenye nyimbo wanamwelezea huyu sure matukio aliyo yafanya, kipindi cha komando yosso
..makaka zangu walikuwa wanapenda kuimba na kuipiga ila mimi siukumbuki vizuri...ninacho kumbuka alifanya tukio siku ya mechi uwanja wa tip uzuri sinza kwenye ligi ya ndondo, kipindi hicho bado nabeba viatu vya mpira vya kaka zangu
Kwa hiyo mkuu nipe connection ya hiyo nyimbo niwakumbuke marehemu kaka zangu
Nakiu jirani Sana msalimie mzee kigomba likwete(Enterprise) namalungo likamba(fadhil singirimo)Nanjirinji pande zangu hizo mkuu,lakini sana sana Kijiji cha nyuma kidogo pale Nakiu.
Unaitwa #Mzee Mgombelwa,muimbaji marehemu Jack SimelaKuna wimbo wa jagwa wanawapa pole jamaa zao kwa kufiwa na baba yao.
Unaimbwa hivi: ntazidi kuwabembeleza rafiki zangu nyie Juma wa ukae badwela
Najua mna uchungu wa kuondokewa baba yenu mzee....
Punguzeni mawazo fanyeni kazi kwani kifo kimeumbwa na Baba Mwenyezi.
Natanguliza shukrani