Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Napenda kile kibwagizo
Jagwa muziki ni bomba muziki ni bomba
Jagwa muziki ni bomba muziki ni bomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mziki wa mchiriku (mnanda) chimbuko lake ni jijini Dar es Salaam,hususani katika wilaya zote tatu kwa maana ya Temeke,Kinondoni na Ilala pia,kwani katika orodha ya band za mwanzoni kabisa (band waasisi) ukizitaja basi ni lazima uziguse wilaya zote tatu.Mnanda ulianzia wapi???
Naomba nije PMKuituma humu mzee binafsi nashindwa Sababu nyimbo za mchiriku (Culture) kiasili ni ndefu na zida mb zaidi ya 5
Jina rasmi la wimbo la huo wimbo,unaitwa #Nguvu zake mwenyewe,upo kwenye albam no. 9 (Vol.9) ya Seven Survival "Juma Mpogo".Njoo what's up kwa 0713963812 nitakutumiaNamichiga
Juma mpogo; "Jitume Babaa, jitumee fanya kazi oooh oooh ni Msingi wa Maisha yako... (mlio wa vigoma) Mtaji wa maskinii ni nguvu zake mwenyewe (sauti ya J.Mpogo na Jack Simela)
Sijui kama umeshaufahamu kaka!
Lakini nikiupata huu wimbo Mkuu wangu Namichiga kwakweliii ntafurahi sana sanaaa yaani.
Asante Brother big up kwako [emoji1431]Jina rasmi la wimbo la huo wimbo,unaitwa #Nguvu zake mwenyewe,upo kwenye albam no. 9 (Vol.9) ya Seven Survival "Juma Mpogo".Njoo what's up kwa 0713963812 nitakutumia
Nitauweka ujirudie kutwa nzimaaa [emoji4][emoji4]Jina rasmi la wimbo la huo wimbo,unaitwa #Nguvu zake mwenyewe,upo kwenye albam no. 9 (Vol.9) ya Seven Survival "Juma Mpogo".Njoo what's up kwa 0713963812 nitakutumia
Hivi kuna tofauti kati ya chakacha na mchiriku?Huyo hapo ni mkongwe wa muziki wa mchiriku(zama za chakacha),Haidary Kessy kutoka bendi ya Night Star.View attachment 1798774
Ndio,ipo tofauti kati ya Chakacha na Mchiriku.Hivi kuna tofauti kati ya chakacha na mchiriku?
Mkuu,huo wimbo unaitwa #Mama Tishi.Umeimbwa na band ya Survivor Original kwenye albam yao ya kwanza (Vol.1) mwaka 97.Mkuu Namichiga kuna wimbo nimeusahau Ila unaimbwa hivi "nilipokueleza kuwa nataka kuoa, sura ukakunja utadhani nimekutukana,, sio hivyo mama Sheria ya ndoa naelewa Mungu kapanga watatu kuoa, usinitoshe bwana utakapo kwenda nenda"
Wameimba Nani hiyo nyimbo? Na kama kuna uwezekano naomba unitumie kwenye 0717305301 whatsappp
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu. Nilikuwa nimeghafilika kidogo, kumbe chakacha nilikuwa naijua kiundani.Ndio,ipo tofauti kati ya Chakacha na Mchiriku.
Chakacha kiuhasilia ni mziki uliokuwa na mienendo,midundo na tamaduni za kimwambao,ambapo kwenye vifaa vya upigaji wake walichanganya magitaa,pamoja na vinanda vya kuvuta huku wakiwa na madensa (wachezaji) walioitwa mafaruku ambao uchezaji wao ilileta tafsiri ya ubaasha ndani yake.
Jambo hilo la mziki wa Chakacha kuwa na tamaduni za ubaasha ndani yake ndio ilikuwa sababu ya serikali kuupiga marufuku.Hivyo makundi mengi ya mchiriku yalipoanzishwa yalipunguza au kuongeza vitu ili kujiweka tofauti na mziki wa chakacha.
Hivyo basi kiufupi tunasema kwamba Mchiriku ni mziki uliotoka ubavuni mwa Chakacha kwa muundo wa vifaa vya upigaji.
Shukrani mkuu[emoji120]Mkuu,huo wimbo unaitwa #Mama Tishi.Umeimbwa na band ya Survivor Original kwenye albam yao ya kwanza (Vol.1) mwaka 97.