Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

Ashaaaa niambie ukweli kama hunitaki usinitapeli... ilikua balaaa

kondakta kaja juu akasema haiwezekani kupanda bure imeruhusiwa jeshi la polisi..
mnanda [emoji119][emoji119][emoji119] sema tu hawauelewi

Btw Asha imeimbwa na jack simela au
Naona huu mziki ni bora kuliko Singeli...........angalau unabeba ujumbe fulani.........kuna wimbo Kazi ya dukani sikumbuki aliimba nani,ila nahisi ndiyo mahadhi hayohayo ya mchiriku
 
Nautafuta wimbo wa wametoka mbali nadhani ni jagwa wameimba na wimbo mwingine unaimbwa "tabia zako na vitendo vyako vmenichosha ewe mke wangu tulia mama wa watoto maisha haya magumu" nadhan unaitwa tulia mama watoto.
YouTube hakuna kule? 🤔
 
Dah mkuu nimetafuta sana sijui labda nakosea kujua zinaitwaje pengine.
 
amadi kiedu alikuwa 7 sasa wana kundi lao na mudy black....though muddy blacki alikuwa mpiga keyboard hatari, yuko wapi piloti baba isayaa?
Uyu mudy black mtu hatari sana na uwa namfatilia sana ukimsikiliza unaweza hisi general lupozi uyu hapa
 
Unamzun
Haaaaa mnanda ikishafika mida ya hatari vijana washavurugwa hiyo kumtoa mwali uzalamoni

Basi watagonga hii ngoma

"Watoto nyinyi ee
Kwanini hamsikii
Kila mnapoambiwa
Hamtaki kuelewa
Fujo mnatuletea
Kwenye shughuri za watu
Tunawaomba nyieeee....

Mnanda a.k.a 'GITA'
Ikipigwa live na debe lile na kisturi ndo utalielewa hasa ikiwa mtaani
Binafsi nimezaliwa kwa mama zakaria nimekulia
Ujiji manjunju kwa mzee manjunju ulipohasisiwa mnanda enzi Kina Mudy kadogo CHIDIDE wanakimbiza na HISAN MUSICA

Utatuambia nini GITA likifungwa shamba huku VANGA huku GITA hatari yqake si ya kitoto

Mpaka leo mpiga kinanda wa JAGWA wa sasa ni kakaangu BINAMU kwa ufupi mnanda umezaliwa baradhani mtaani kwetu chini ya BABU MZEE MANJUNJU mtaalamu wa kibao kata na chakachaa

Ila nimekubali namichiga we mdau haswa salute kwako
Unamzungumzia yupi mkuu mana kwa pale jagwa kuna baba asha, kuna diploma kuna dongo na hyo style ndy ipo kasi sana kinanda na vanga ni balaa sikiliza hapa hyo moja ilikuwa live vanga na kinanda na kinanda kiliguswa na muddy black wa seven na kuna jamaa mmoja anaitwa zarau koya uyu uwa anapiga jagwa dumbaki ila amebase sna kwny vanga kupiga hata humu alikuwa anapiga vanga akamix na kinanda ni balaa
 

Attachments

Mimi bado nalia na Oscar Mkoba,
Kifo chake kinasikitisha sana,
Kapigwa pigwa mapnga,

Ni huzuni na majonzi kwa kweli, kwa sisi Jagwa na wengineo.

RIP Oscar Mkoba
 
Hivi haya madhairi kainba nani." Wewe unatuchuza, maskani unatuharibia, unajaribu kutuuza, polisi unatulete, ubinadamu kazi tunakuambia"
 
Back
Top Bottom