Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

Ashaaaa niambie ukweli kama hunitaki usinitapeli... ilikua balaaa

kondakta kaja juu akasema haiwezekani kupanda bure imeruhusiwa jeshi la polisi..
mnanda [emoji119][emoji119][emoji119] sema tu hawauelewi

Btw Asha imeimbwa na jack simela au
Naona huu mziki ni bora kuliko Singeli...........angalau unabeba ujumbe fulani.........kuna wimbo Kazi ya dukani sikumbuki aliimba nani,ila nahisi ndiyo mahadhi hayohayo ya mchiriku
 
Nautafuta wimbo wa wametoka mbali nadhani ni jagwa wameimba na wimbo mwingine unaimbwa "tabia zako na vitendo vyako vmenichosha ewe mke wangu tulia mama wa watoto maisha haya magumu" nadhan unaitwa tulia mama watoto.
YouTube hakuna kule? 🤔
 
Dah mkuu nimetafuta sana sijui labda nakosea kujua zinaitwaje pengine.
kuna jamaa humu anaitwa namichiga, yupo vizuri kwenye hayo mambo, mcheki. kuna wimbo nilikuwa nautafuta sana nikamcheki akanitumia.
 
Dah mkuu nimetafuta sana sijui labda nakosea kujua zinaitwaje pengine.
 
amadi kiedu alikuwa 7 sasa wana kundi lao na mudy black....though muddy blacki alikuwa mpiga keyboard hatari, yuko wapi piloti baba isayaa?
Uyu mudy black mtu hatari sana na uwa namfatilia sana ukimsikiliza unaweza hisi general lupozi uyu hapa
 
Unamzun
Unamzungumzia yupi mkuu mana kwa pale jagwa kuna baba asha, kuna diploma kuna dongo na hyo style ndy ipo kasi sana kinanda na vanga ni balaa sikiliza hapa hyo moja ilikuwa live vanga na kinanda na kinanda kiliguswa na muddy black wa seven na kuna jamaa mmoja anaitwa zarau koya uyu uwa anapiga jagwa dumbaki ila amebase sna kwny vanga kupiga hata humu alikuwa anapiga vanga akamix na kinanda ni balaa
 

Attachments

Mimi bado nalia na Oscar Mkoba,
Kifo chake kinasikitisha sana,
Kapigwa pigwa mapnga,

Ni huzuni na majonzi kwa kweli, kwa sisi Jagwa na wengineo.

RIP Oscar Mkoba
 
Hivi haya madhairi kainba nani." Wewe unatuchuza, maskani unatuharibia, unajaribu kutuuza, polisi unatulete, ubinadamu kazi tunakuambia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…