kaka_mkubwa
Member
- Apr 6, 2012
- 40
- 75
Kiuhalisia Maana ya neno huijua mwenye kutoa neno hilo,kiukweli kusudio halisi la Hisani Gari kubwa(Meli ya sumu)silifahamu.Lakini labda niingie kazini kuwadodo jamaa zangu ambao waliwahi kuwa wanamuzi wa bendi hiyo wanaweza kuniambia.Kuna nyimbo hisani Gari kubwa waliimba kama dongo kwa bendi nyingine, sijui jina la nyimbo ila inaanza kwa "walishindwa watu kweli wazazi wa majumbani, wenye kutoa Ukali na Radhi za midomoni," unaweza kunipa sababu Za wimbo huu kutungwa?
Nitakufanyia mpango,hizo nyimbo wenyewe ni Atomic Music(Omary Omary)na zipo namba 1-4,na mjumbe alikuwa anaitwa Mzee Nanga.Huyo Nanga yy alikua ni rapper kwenye bendi hiyo na baadae alihama na kuamia Seven Survivor ya Juma Mpogo.Kuna wimbo wa Baba Asha, namba moja na namba mbili...
Ulikuwa na maneno yafuatayo
Huyu Baba Asha itabidi anambie usiku wa jana alilala wapi? Mimi aliniaga anakwenda kulinda usiku wa jana ndio zamu yake... Mbona mjunbe mzee Jongo lalalalalal
Sungu sungu hakukinda Baba Asha na ndani hakulala Baba Asha....
Dah jamani mwenye nao tafadhari nauomba...
Ongeza na dar nyotaKi uhalisia huu mziki hauna kabila maalum,in short ni mziki wa watoto wa mjini.Sababu mnanda wakati unashika hatamu enzi ya bendi kama Hisani Gari kubwa,Uraibu,Tokyo ngoma,Kombora Music na nyinginezo,zilikua na watu waliochanganyika kutoka makabira tofauti jijini Dar es salaam.
Asha imeimbwa na baba jey marehemu huyu,,, na ndo kilikuwa kichwa cha jagwa. Kaimba nafikili kuanzia namba Tatu mpaka tano. Baada ya kufa namba Sita kaimba igoshi. Jack simela nafikili kaanzia sabaAshaaaa niambie ukweli kama hunitaki usinitapeli... ilikua balaaa
kondakta kaja juu akasema haiwezekani kupanda bure imeruhusiwa jeshi la polisi..
mnanda [emoji119][emoji119][emoji119] sema tu hawauelewi
Btw Asha imeimbwa na jack simela au
Asante sana...Nitakufanyia mpango,hizo nyimbo wenyewe ni Atomic Music(Omary Omary)na zipo namba 1-4,na mjumbe alikuwa anaitwa Mzee Nanga.Huyo Nanga yy alikua ni rapper kwenye bendi hiyo na baadae alihama na kuamia Seven Survivor ya Juma Mpogo.
Bendi kama Dar Nyota na Night Star ya Haidary Kessy,hizi kiuhalisia huwezi kuziita mnanda,hizi ni chakacha.Sababu ukisikiliza kuanzia santuri ya upigaji hadi vifaa.
Upo vizuriKuruthumu nyimbo hii imeimbwa na Jagwa (Dege la jeshi) chini ya utawala wa marehemu baba J.
Ki uhalisia huu mziki hauna kabila maalum,in short ni mziki wa watoto wa mjini.Sababu mnanda wakati unashika hatamu enzi ya bendi kama Hisani Gari kubwa,Uraibu,Tokyo ngoma,Kombora Music na nyinginezo,zilikua na watu waliochanganyika kutoka makabira tofauti jijini Dar es salaam.
Mkuu tuma humu hizo ngoma zote..yanini tukufate pm mkuu..[emoji120][emoji120]Kuna comment hapo juu nimetoa ufafanuzi.
Kabila Moja na Majaliwa.Marehemu Juma Mpogo alikuwa Kabila gani?