Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo pande za Mwananyamala Ujiji kuna kupindi Hisani walikua wanafanya mazoezi hapo,kwa mzee wetu mmoja mtu wa kusini akiitwa Ally Matanga,wanae akina Baksijo,Mikidadi,Rajabu maarufu Awilo,walikua washkaji zao hao wapiga limba wa Gari kubwa (Meli ya sumu).Wakati huo ujanja ni "Kubembea"(Unga) na ukaribu huo ndio ulipelekea Hisani kukanyaga Kibaha mkoa wa Pwani kwa mara ya kwanza mwaka 92.
Kwanza wanapokaribia kufanya uhalifu wanaongea kwa code,waimbaji na wapigaji watapiga mziki mtamu sana unaopendwa na wengi huku stage show mmoja mahili atakua ananengua,mfano Vanndame(Atomic)au Saidi Kitinike(Seven) hivyo watu lazima mkusanyike kwenda kushangaa!.Basi utasikia anaitwa "Saidi mwana wa Pembe,kasole ubwele",basi jua viwalo ndani vinaibiwa huko.Hadi mlinzi ukirudi lindoni baada ya kushangaa miondoko unakuta hakuna kitu!.Mwenyewe ni mhanga wa hii, ilikua keko magurumbasi, nimesimama mbele ya mlango naangalia vitu, kurudi ndani wameshapita na radio
Singeli ni zao la KIGODOLO virtua DJ ndo ilihasisi SINGELIIla yote mchiriku Na mnanda ndo zao la singeli waimba singeli wamwanzo kabsa wametokea huko huko kwenye mchiriku na mnanda.
Singeli ni cycle (mzunguko ule ule wa mnanda.Mziki huu hapo mwanzo ulikua ukiitwa chakacha na upigaji wake uliambatana na magita,bendi maarufu zilikua kama Dar Nyota na Night Star ya akina Haidary Kessy.Ila yote mchiriku Na mnanda ndo zao la singeli waimba singeli wamwanzo kabsa wametokea huko huko kwenye mchiriku na mnanda.
Kwanza wanapokaribia kufanya uhalifu wanaongea kwa code,waimbaji na wapigaji watapiga mziki mtamu sana unaopendwa na wengi huku stage show mmoja mahili atakua ananengua,mfano Vanndame(Atomic)au Saidi Kitinike(Seven) hivyo watu lazima mkusanyike kwenda kushangaa!.Basi utasikia anaitwa "Saidi mwana wa Pembe,kasole ubwele",basi jua viwalo ndani vinaibiwa huko.Hadi mlinzi ukirudi lindoni baada ya kushangaa miondoko unakuta hakuna kitu!.
Wana jamvi,mimi ni mdau mkubwa wa mziki wa mchiriku/mnanda.Mziki ambao ulitawala na kujizolea umaarufu mkubwa kwenye miaka ya 90 hadi 2000,binafsi nimekulia kwenye jamii yenye kuhusudu mziki huo na hivyo kifuani kwangu nina hazina ya kutosha kuhusu mziki huo hatua kwa hatua tangu ulipotokea hadi ulipokuja kuanguka baada serikali kuingilia kati kutokana na matendo yaliyokua yakifanywa na mashabiki na wapenzi.
Isitoshe nimefanya documentary yangu binafsi kwa kuwatembelea na kuwahoji waliokua/na waliopo kwenye fani hiyo na hivyo kujikusanyia hazina ya kutosha kuhusu mziki huu.
Karibuni wapenzi wa mziki huu tubadilishane mawazo.
Singeli ni chakacha iliyoboreshwa tu kwa kunogeshwa na punch za kukiimbiza ili kuleta miondoko ya uchezaji,lakini bado wako kwenye mzunguko wa mchiriku.Kwani huku mwishoni hukuwaona watu Kama akina Omary Omary,Dogo Mfaume,Lupozi mwenyewe walikua wana wanapiga chakacha?.Singeli ni zao la KIGODOLO virtua DJ ndo ilihasisi SINGELI
Madogo walianza kwa kuzikimbiza taarabu wanapandisha pinch taarabu inaenda mperampela huku wanaingiza vionjo vyao na virtuar dj baadae wakawa wanaingiza mashaili yao
Sasa kukiwa na kigodolo mtaani mtu anachukuaa mic anatambaa na biti zao walizotengeneza kibingwa na fluityloops
Mwisho sasa watu wakaanza kurecody nyimbo full kabisa na FL studio
Kiuhalisia waimba singeli wa mwanzo hawakutokea kabisa kwenye mnanda
Msaga sumu ndo alikuwa mdau mkubwa aneyejulikana kwa kutia vionjo nyimbo nyingi za taarab
Km wewe mtoto wa kishua huwezi elewa hii coment ila watoto poli watakuwa wamenielewa
Yaah,wajanja wa Temeke hao,wakati huo Omary Omary ndio anachipukia.Kikubwa kinachonigomba ni tecnolgia,kwani nyimbo nyingi ninazo kwenye maflashi na tape za redio cassete,sasa namna ya kuzihamisha kuja kuwatupia ndio mbinde,na kama mjuavyo kwa sie wajanja wa kitambo,elimu sio kivile wana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu ni kweli miaka ya 90 mnanda ndio ulikuwa kwenye chati sikumbuki vikuti vya enzi zile sana ila nyimbo zao nazikumbuka sana nakumbuka kuna Super Topaz au AJAX...Ebu tupia minanda ya 90s.
Mkuu ukienda K/koo wapo wataalamu wa kutoa/convert nyimbo za kwenye Tape kwenda Mp3.Yaah,wajanja wa Temeke hao,wakati huo Omary Omary ndio anachipukia.Kikubwa kinachonigomba ni tecnolgia,kwani nyimbo nyingi ninazo kwenye maflashi na tape za redio cassete,sasa namna ya kuzihamisha kuja kuwatupia ndio mbinde,na kama mjuavyo kwa sie wajanja wa kitambo,elimu sio kivile wana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
hahahaahahahh hapo Farmer Gusta enzi hizoo palikua na kibustani cha michongoma kabisaa pale ambapo leo hii pana jumba la kutupia takaKuna kundi moja maskani yao ilikua pale mwembe yanga uwanjani lilikua linaitwa Farmer Gusta..lilikua atari sana likiongozwa na marehem Kipaka..[emoji445]tulikua maskani,maskani Farmer Gusta,kukaa kidogo kaja mtu,kaja anatuuliza,kipaka kafa saa ngapi,sio yeye peke yake eee ,yeye ametangulia aaa[emoji445]
Sungu sungu hakulinda baba Asha aa,na ndani hakulala baba Asha aa..[emoji445][emoji445][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Palikua panavuta ganja yakutosha..hahahaahahahh hapo Farmer Gusta enzi hizoo palikua na kibustani cha michongoma kabisaa pale ambapo leo hii pana jumba la kutupia taka
wanikumbusha watoto wa Mzee Mangusiroo, kina Kabwe na nduguye Kipaka,
enzi za Double Ommy na Atomic music
mikoroshini ilikua motooooo
Hapo Tops kulikua na wahuni wakutosha na ndio ilisababisha zile maskani ( garden ) kupigwa marufuku maana ilikua ganja ganjani unga ngada kwa kwenda mbele.kulikua na vile vikundi vya komando yosso kama wale panya road.Usisahau wale wahuni wa pale mwembeyanga Farmer Gusta".......Kama miudaaaa,Kama midaladala yooote anaendesha mdogo wake kachalaaaaa......" huu ulikuwa wimbo gani?..
Enzi hizo tunaishi Temeke Mikoroshini maeneo ya Sandali kuna mahali panaitwa Tops mpaka leo kuna mateja, ndio mitaa unawakuta kina Omary Omary, Charles Tondo, Saidi Ndiga
Nakumbuka Saidi Ndiga alizinguana na anko wangu, basi walileteana mikwara baadae wakaishia kutaniana.
Anyway, hii ndude ilikuwa na vibe fulani hivi mtaani, ile mtu anaimbaaaa halafu ikichanganya unasikia kinanda tuu, hapo masela wanaruka kama wanacheza reggae.
Ujumbe,Vibes, ni muziki wenye mashabiki wengi wahuni ila hakuwa matusi kama miziki ya siku.
Ngoma yangu ya muda wote na hata sasa ninayo kwa simu ni ile, Kivuruge
"......mtazameni kivuruge alivyonyorodoka...., sasa umebaki tuu miguu kama fito.....
Kuna mtu zikinisikiaga nasikiliza zinakuwa hazinielewi kabisaa [emoji23]
Walikua ni wahuni haswa lakini matusi kwenye nyimbo zao ilikua ni mwiko kabisa mkuu tofauti na hawa mashololo wa siku izi nyimbo zao matusi mwanzo mwisho.mtu kama akina Juma nature ndio wametokea huku ndio maana kwenye mistari yao kulikua na maneno mengi sana ya kiswahili ambapo mtindo wao ilikua ni rap katuni".......Kama miudaaaa,Kama midaladala yooote anaendesha mdogo wake kachalaaaaa......" huu ulikuwa wimbo gani?..
Enzi hizo tunaishi Temeke Mikoroshini maeneo ya Sandali kuna mahali panaitwa Tops mpaka leo kuna mateja, ndio mitaa unawakuta kina Omary Omary, Charles Tondo, Saidi Ndiga
Nakumbuka Saidi Ndiga alizinguana na anko wangu, basi walileteana mikwara baadae wakaishia kutaniana.
Anyway, hii ndude ilikuwa na vibe fulani hivi mtaani, ile mtu anaimbaaaa halafu ikichanganya unasikia kinanda tuu, hapo masela wanaruka kama wanacheza reggae.
Ujumbe,Vibes, ni muziki wenye mashabiki wengi wahuni ila hakuwa matusi kama miziki ya siku.
Ngoma yangu ya muda wote na hata sasa ninayo kwa simu ni ile, Kivuruge
"......mtazameni kivuruge alivyonyorodoka...., sasa umebaki tuu miguu kama fito.....
Kuna mtu zikinisikiaga nasikiliza zinakuwa hazinielewi kabisaa [emoji23]