King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Ni kweli ,gharama sana ,nimefikiria kwa miaka mi3 amewezaje?Daah! Ndugu huu ugonjwa sio mchezo.
Ni kweli ,gharama sana ,nimefikiria kwa miaka mi3 amewezaje?Daah! Ndugu huu ugonjwa sio mchezo.
AKI ni kisababishi kikuu pia mkuuVisababishi vikuu vya kufeli kwa Figo ni presha ya juu isiyodhibitiwa pamoja na kisukari
Visababishi vikuu vya kufeli kwa Figo ni presha ya juu isiyodhibitiwa pamoja na kisukari
Mtu mwenye CKD anapaswa kula mlo kamili wenye virutubisho muhimu hasa protini na pia aepuke au apunguze ulaji wa matunda hasa ndizi mbivu,parachichi na matunda mengineyo yenye potassium nyingi.Hebu tusaidie aina ya chakula kinachomfaa mtu alie na tatizo figo
Natumia Bima mkuu ambayo Kila session kwa pale Bugando Bima wanalipa laki 2 so Mimi naenda dialysis mara 2 kwa wiki hivyo bima wanalipa laki 4 ila mtu wa cash analipa laki 3 Kila session hivyo akienda mara 3 kwa wiki inamtoka laki 9Vipi gharama zake? Unatumia bima au mfuko wa shati?
Ingekua ni hivyo basi vijana na wanaume nchi nzima wangakua wagonjwa wa figoNikajua utasema pombekali na ENERGY
Pole sana Mkuu,Ndio mkuu Mfano mzuri ni Mimi mwenyewe nipo kwenye dialysis mwaka wa 3 naendelea na maisha yangu kama kawaida na shughuli zangu za Kila siku
Asante mkuu nishapoa na nishazoea dialysis maisha yanaendeleaPole sana Mkuu,
Hata kwa huu uzi utasaidia wengi.
Asante sana kweli JF ni dude kubwa!!
Mwili kukosa maji, kupoteza damu nyingi,maambukizi makali hasa kwenye mfumo wa mkojo n.kAKI ni kisababishi kikuu pia mkuu
Of courseMwili kukosa maji, kupoteza damu nyingi,maambukizi makali hasa kwenye mfumo wa mkojo n.k
Hapo afadhali maana kwa cash unafirisika.Natumia Bima mkuu ambayo Kila session kwa pale Bugando Bima wanalipa laki 2 so Mimi naenda dialysis mara 2 kwa wiki hivyo bima wanalipa laki 4 ila mtu wa cash analipa laki 3 Kila session hivyo akienda mara 3 kwa wiki inamtoka laki 9
Wewe chanzo ilikuwa ni nini?Visababishi vikuu vya kufeli kwa Figo ni presha ya juu isiyodhibitiwa pamoja na kisukari