Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #141
Na wewe ukija na tabia nzuri unaondoka nae.. Kuna mbongo alikuja kama leo siku ya pili akaondoka na mke hadi leo niliulizia nikaambiwa yupo nae.
Unajua watu wengi ni waislam/wakristo ila si waumini.. Kuna tofauti kubwa sana hapo unatakiwa ujuwe.
Hawapendi kuchanganya rangi labda wakukubali vibaya mno.. Tofauti na hivo wako radhi mimba itolewe na wasikupe.
Mimi nilidhani watumbatu pekee ndio washirikina kumbe wote?Uchawi upo na utaendelea kuwepo tangia enzi za Nabii Mussa ulikuwepo... Sasa kwa upande wa kutumia vitabu kwa kumshirikisha Allah hapana. Kutumia vitabu vya Allah ili kupata dawa ndo njia sahihi kabisa... Lakini watu wengi tulipofeli ni pale kuendekeza mashetani/Majini. Na ushirikina unakuja pale ambapo shetani atataka afanyiwe kitu fulani na msipomfanyia atakavyo akadai familia yenu itapata tabu kwa maana yeye anajifanya amekuwa Mungu akifanyiwa atakalo hakuna shida atailinda familia wakati mlinzi ni mmoja tu. Na pia hakuna uhusiano wa dini na ushirikina.. Dini inakemea hilo. Na miti shamba ni kweli inahusishwa na ushirikina baadhi ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana dini na ushirikina ni vitu viwili tofauti.. Dini inakataa ushirikina sana, na pia ukiona mtu ni mshirikina bado hajakamilika kuwa muumini..Mimi nilidhani watumbatu pekee ndio washirikina kumbe wote?
Washirikina wengi wameshika dini ya kiislam kumbe?
Aisee,ntakuja nitembee huko one day,wapemba nao wanalima huko?
Kumbe waarabu wanawabagua hata nyie waislam wenzaoHawapendi kuchanganya rangi labda wakukubali vibaya mno.. Tofauti na hivo wako radhi mimba itolewe na wasikupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
We nenda mkuu kawaida sana wakarimu ni wengi.Aisee,ntakuja nitembee huko one day,wapemba nao wanalima huko?
Basi mimi najua hivyo,naomba unisahihishe tafadhali
Hatuwatengenezi mkuu bali ni maumbile tu ya sehumu husika.. Kwani Bongo mnawatengeneza wawe na vyura?kwa nini mnawatengeneza watoto wenu wasiwe na vichogo.
Kwahiyo hupendi wanavyotongoa Mama sabrina?