Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

bro uandishi wako umeuzidisha mbwembwe mpaka unapoteza maana halisi
 
Capetown ni mji wanaoishi makaburu au whites kwa wingi hivyo lifestyle ya hapo ni kama Ulaya. Usisahau hata ukitembelea Maduka (Malls) za Capetown huwezi kukuta lotion za Kiafrika. Jaribu tu kufanya huo utafiti utakuja na jibu. Hata wauza madawa ya kulevya huenda tu na kurudi huko wanaishi watu wa level zingine. Timkia Botswana ukiona gozigozi
 
Dah! Jamaa umenikumbusha utotoni aisee hasa hili neno Dizonga, Nina marafiki zangu wa utotoni wamepotelea Mbondeni sasa ni mateja huko.
 
Mkuuu mbn part four haikuj?
 
nimeanzia part 3 but imenoga sana,,nasubiri part 4 ngoja nizicheki part 1 and 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…