Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Uyu Jamaa anajivuta nin?maliza story!
 
Vidokezo vya part2:

Nilipata kushuhudia raia fulani wa nchi fulani....analala chini ya mifereji ya kupitishia maji yatokanayo na mvua.

Nilipata kushuhudia raia fulani wa nchi fulani...anatembea na risasi iliyopigwa
kiunoni mwake.

Nilipata kushuhudia raia fulani wa nchi fulani... anamiliki guest house 4| R S A
na supermarket 1 | America.

[HASHTAG]#Likes[/HASHTAG] zenu ndizo zinanipa nguvu ya kuwaleteeni part 2
Loading.....
 
Mmmh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Vidokezo vya part2:

Nilipata kushuhudia raia fulani wa nchi fulani....analala chini ya mifereji ya kupitishia maji yatokanayo na mvua.

Nilipata kushuhudia raia fulani wa nchi fulani...anatembea na risasi iliyopigwa
kiunoni mwake.

Nilipata kushuhudia raia fulani wa nchi fulani... anamiliki guest house 4| R S A
na supermarket 1 | America.

[HASHTAG]#Likes[/HASHTAG] zenu ndizo zinanipa nguvu ya kuwaleteeni part 2
Loading.....
Kwahiyo hizo likes unazotaka mpaka zifike ngapi ndo utumalizie
 
Af we mswaki jifunze uandishi hayo mahashtag unamwekea nani likes katafute fb acha utoto we ka umekua shigongo sema na stori zako za kutunga
 
Nafahamu kuwa unakiu ya muendelezo..
Bonyeza kitufe cha [HASHTAG]#edit[/HASHTAG] ili uiyedit hiyo coment yako....au macho yangu ( *~* )
Mimi sina shahada ya uwandishi...
Wewe he...???
 
Back
Top Bottom