Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Tumefungwa shule Ijumaa,kuanza kesho Nina safari ya kwenda Dar itabidi nipitie huko nipaoneHujui kitu bora ukae kimya, mbuzi mwekundu we
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefungwa shule Ijumaa,kuanza kesho Nina safari ya kwenda Dar itabidi nipitie huko nipaoneHujui kitu bora ukae kimya, mbuzi mwekundu we
Kuna sehemu kisauti alisema i"meisha hiyoooo" akalala njiani🤣🤣🤣🤣🤣We pitia nyuzi zake utaoana
Anapenda kudeka deka na kususa Susa
Anadai makurumla ilianzishwa 2007 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dahh1997 nipo la pili miye pale Makurumla mwembechai kabla haijabadilishwa kuwa Mwalimu Nyerere Primary School mwaka 1999 baada ya kifo Cha Baba wa Taifa
Wee...utatumia Siku nzima Kuna kuna umbali brooo napajua mara ya mwisho kwenda January this year na this April ntaenda tenaNafika pale barabarani nasimama natembea na gambuti kwenda kwao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbali may be achukue boda elf 10k au 15kHakikisha unafika mkuu
Sema kweli😅😅😅😅😅Wee...utatumia Siku nzima Kuna kuambali brooo napajua mara ya mwisho kwenda January this year na this April ntaenda tena
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daahh glen bwanaaa si anasema msomi sasaNa weww sijui nikuchane?
Hicho kichwa unakiona kimebeba hata diploma kichwani?
Hata uitaje digrii?
Anafikiri miye napenda uongo kama yeyeWe Sio kweli Makurumla haijaanzishwa 2007
MpwayunguLicious 🏳️🌈Nishazaliwa mwanaume hakuna jinsi
Njia ya kwao Kwa bihawana utazunguka sana maana bihawana kama unaelekea No ndwa au ng'ome wao kwao ukifiki mpunguzi ingia kuliaYaanI leo nikifika BIHAWANA naulizia kijana alifika sekondari ntampata tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji2][emoji2] woyooooo nimegusa penyewe brooohhh!!!!!Hujui kitu bora ukae kimya, mbuzi mwekundu we
Makurumla ilikuwepo hata kabla ya 1999Anadai makurumla ilianzishwa 2007 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dahh
MpwayunguLicious 🏳️🌈🏳️🌈🏳️🌈🏳️🌈Hawana kosa kwa nchi yetu, section ya 154 ya penal code inatoa adhabu Kwa wanaofanya mapenzi against nature, against nature inamuhusu mwanamke tuu kuingiliwa nyuma hilo ndo kosa. Kwa shoga our law is silent
Ntaenda nakuambia tarehe za katikati ya mwezi huuSema kweli[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Msomi wa kigogo labda.[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daahh glen bwanaaa si anasema msomi sasa
KUna siku aliposti V8 kumbe la mtandaoniMsomi wa kigogo labda.
Mtu muongo kama huyu kasomea kitu gani?
Kuna siku anaamua kuchukua picha mtandaoni na aseme yuko See cliff...
Napajua maana nimesoma secondary na waliomaliza Makurumla hapo ndo maana nimembishia 2007 namaliza advance MimiAnafikiri miye napenda uongo kama yeye
Nimeanza Makurumla mwka 1995,shule ikiitwa Makurumla
Mwaka 1999 baada ya Baba wa Taifa kufariki ndipo Kwa heshima yake shule ikabadilishwa ikaitwa Mwalimu Nyerere
Kama Bado anabisha nimuunganishe na Mwalimu wangu wa Darasa la Nne na Tano wa Kiswahili mwalimu Lugano na yule sayansi mwalimu Prosper waweke rekodi sawa
Mwalimu Lugano yupo Mburahati na kwake na kupeleka