Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

No bhana lamo sio wifi yako kwangu, bali ni rafiki yangu tu 😢
ndiyo siyo kwako, bali kwa kaka yangu wa kaskazini, akishaona watu wa kaskazini wanasemwa lazima atie neno, hiyo ndiyo maana yangu..!!😂
 
Kwani mlifikia wapi baada ya wewe kutangaza vita na mimi?
Hahahaaaa nilifika sehemu nikaona nitamuua maana nitamkoleza halafu ujue sina ule upendo tena labda angewahi kabla mnyaturu hajafanya yake angeniokota kama dodo.
 
Hahahaaaa nilifika sehemu nikaona nitamuua maana nitamkoleza halafu ujue sina ule upendo tena labda angewahi kabla mnyaturu hajafanya yake angeniokota kama dodo.
Itakuwa ulishindwa mkuu, ujue Atoto sio wa mchezo hata kidogo! Nilikuambia ukimpata nitakopa 100k nikupe.
 
Hadithi yako hii nimestareheshwa nayo sana.
Uandishi mzuri, umenibeba hadi usingizi.
 
Mkuu unawaacha watoto wako kwa mwanamke kizembe hivyo?
 
Itakuwa ulishindwa mkuu, ujue Atoto sio wa mchezo hata kidogo! Nilikuambia ukimpata nitakopa 100k nikupe.
Mkuu kuna watu ni wabaya sema umesaidiwa sana stress na mvurugo wa akili nilionao kwasasa
Sikatai hata kidogo kuwa siko sawa but deeply I know Am a beast in that area
Na nawinda taratibu sana like tiger.
 
Story za vijana wa 2010 hii..
Ni mpenzi wa mastory ila hii nimeshindwa kuimaliza.
 
Mkuu upo vizuri.

Je unaukumbuka wosia wa bimkubwa ulimaanisha nini?

Katika simulizi yako, kuna dosari kibao katika kutafuta mchumba hadi kuanza kuishi naye ulizifanya.

Usirahisishe ama kuruka hatua yoyote ya kikanuni linapokuja suala la kuoa na kuishi na mwanamke.

Mama aliziona dosari za mkeo zikiwa zimebandikwa usoni pake, ndiyo maana alimshitukia since day 1.

Kifuatacho mbele ya safari tunakuachia mwenyewe.
 
Mkuu najitahidi sana ninyanyuke kiuchumi ili nile maisha na kuwachukua watoto wangu nirudi Daslam sitaki habari za kuishi na mwanamke mpaka kifo kitutenganishe tena.
Nawakaribisha wale wa mkataba wa mwaka mwaka tena raundi hii nafunga ndoa kwa Mkuu wa Mkoa
Zingatia ndoa zinakuwa za mwaka mwaka
Halafu ziwe beneficial sio hizi za kutegeana mbunye kisha mtu anatorokea kusikojulikana
 
Aliyesoma mpaka mwisho pliz naomba aniambie kwa ufupi stori inahusu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…