Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

Aliyesoma mpaka mwisho pliz naomba aniambie kwa ufupi stori inahusu nini.
Kijana Mkurya wa miaka 24 mama yake anamlazimisha kuoa, mkurya ana geto, kazi na ni bikra, mkurya anapata binti mnyaturu anabikiriwa na mnyaturu miezi minne mbele anaenda kutoa mahari. Ukweni kunatokea kisanga.

Kuna muendelezo.
 
Mkuu na mi nipo Mwz hapa nyamanoro hebu naomba namba zake nikajaribu kumshauri
 
Kijana Mkurya wa miaka 24 mama yake anamlazimisha kuoa, mkurya ana geto, kazi na ni bikra, mkurya anapata binti mnyaturu anabikiriwa na mnyaturu miezi minne mbele anaenda kutoa mahari. Ukweni kunatokea kisanga.

Kuna muendelezo.
Dah huyo ni mura kweli?
 
Aisee pole sana. Sasa walikwambia kwao mji mzito siku ukienda kuwachukua watoto wako nao utawakuta ni wazito kukuzidi.
 
Aisee pole sana. Sasa walikwambia kwao mji mzito siku ukienda kuwachukua watoto wako nao utawakuta ni wazito kukuzidi.
Mkuu hapo alipo ni vile tu sitaki watoto waishi bila mama yao Vinginevyo Ingepigwa ibada moja tu tunaamka asubuhi kazi imeisha.
Hata yeye anafahamu hilo ila kwakuwa anajua nampenda sana siwezi kumdhuru.
Ogopa unaposikia watu waliokwisha kuzikwa
Sio wenzako hao utazunguka sehemu mbali mbali
Halafu sisi tunafanya Ibada moja tu tunamuomba LUCIFER anamwaga baraka zake utajuta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…