Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini).
Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa namna ambavyo ni mafundi haswa wa kuimba nyimbo za dini mpaka mtu ana burudika haswa.
Mimi ni mpenzi sana wa muziki, napenda miziki ya aina mbalimbali ikiwemo bolingo, hip hop, bongo fleva, Afro beats, Mziki wa south, Gospel n.k
Katika gospel napenda sana ngoma za RC na SDA kwa sababu moja tu ni kwamba hawa ni wanaimba kwaya tofauti na wengine na kwaya ina mtiririko wa sauti kuanzia 1 mpaka 4.
Sasa hawa wasabato wanajua namna ya kutiririka katika sauti hizo nne kuanzia ya kwanza mpaka ya nne zote unazipata clear kabisa na kwa kuvutia.
Hawa jamaa huwa wana nifurahisha sana na kwaya zao wanajua haswa.
Wasabato wote mliomo humu chukueni maua💐 yenu kwa niaba ya wenzenu toka kwangu aisee kwaya zenu zinajua haswa maana halisi ya nyimbo za gospel zinapaswa vipi kuwa.
Hizo ni moja kati nyimbo zangu pendwa za sda.
PS. Kama huu uzi hautafutwa nitaamini mods wana double standard....jana nimeweka wimbo wa Catholic wameufuta haraka sana
Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini ).
Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa namna ambavyo ni mafundi haswa wa kuimba nyimbo za dini mpaka mtu ana burudika haswa.
Mimi ni mpenzi sana wa muziki, napenda miziki ya aina mbalimbali ikiwemo bolingo, hip hop, bongo fleva, Afro beats, Mziki wa south, Gospel n.k
Katika gospel napenda sana ngoma za RC na SDA kwa sababu moja tu ni kwamba hawa ni wanaimba kwaya tofauti na wengine na kwaya ina mtiririko wa sauti kuanzia 1 mpaka 4.
Sasa hawa wasabato wanajua namna ya kuririka katika sauti hizo nne kuanzia ya kwanza mpaka ya nne zote unazipata clear kabisa na kwa kuvutia.
Hawa jamaa huwa wana nifurahisha sana na kwaya zao wanajua haswa.
Wasabato wote mliomo humu chukueni maua💐 yenu kwa niaba ya wenzenu toka kwangu aisee kwaya zenu zinajua haswa maana halisi ya nyimbo za gospel zinapaswa vipi kuwa.
Ndio namba moja na 2 ni kijaluo, nakifaham kiasi chake. Niliwahi kufanya kazi na watu wa kabila hilo nikajifunza
Ya mwiaho ni kinyarwanda hicho ndio maji kabisa