Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

Wapo vzr nakubaliana na ww kwenye suala la uimbaji
 
SDA na RC ndio wanaimba nyimbo za injili na sio hao wanaoimba viduku
 
  • Aseneno (nimeona)
  • Chungi amalo (simama)
  • Mungu si binaadam
  • Nyundo
  • Upendo
  • Hoziana
Hizo ni moja kati nyimbo zangu pendwa za sda.

PS. Kama huu uzi hautafutwa nitaamini mods wana double standard....jana nimeweka wimbo wa Catholic wameufuta haraka sana
Chini ya mwalimu wao wa kwaya marehemu Kibaso hakika kurasini SDA ilikua moto
 
Hauna utukufu zaidi ya biashara tu
Hapa ndio wasabato mnapojifanyaga nyie ndio mnajua utukufu kuliko wakristo wenzenu acha ukiritimba...sisi wa madhehebu mengine mbona hatukosoi nyimbo zenu?non sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…