3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Sisi waadventista wasabato tumeyapokea maua yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaminifu ni 1 kwa 10000! Wengi wanazagamuana hatari!! Haipendezi namna hii! Mungu ni Mtakatifu! Yawapasa wanaosogea kumhudumia pia wafue MAVAZI yao! Imewapasa kuwa safi nyakati zote! Vingenevyo, uimbaji wao mzuri hugeuka kuwa kelele mbele za MUNGU!Wazinifu wapo Mkuu.
Ila wapo pia waaminifu Sana Mkuu.
Nimekupenda kwa uaminifu wako!Sisi waadventista wasabato tumeyapokea maua yetu
Ha ha asante mkuuNimekupenda kwa uaminifu wako!
So special, unapaswa kutambua kuwa uimbaji ni mahubiri na ni ibada takatifu mbele za MUNGU. Kama unaburudika jiulize mara mbili mbili! Nadhani lengo namba moja la uimbaji wa nyimbo za injili siyo kukuburudisha wewe! Hizi siyo bongo flavor!Upo sahihi kabisa wasabato wanaimba bila hata kuruka majoka lakini una burudika vyema
Waaminifu ni 1 kwa 10000! Wengi wanazagamuana hatari!! Haipendezi namna hii! Mungu ni Mtakatifu! Yawapasa wanaosogea kumhudumia pia wafue MAVAZI yao! Imewapasa kuwa safi nyakati zote! Vingenevyo, uimbaji wao mzuri hugeuka kuwa kelele mbele za MUNGU!
Kama ni hivyo, kila mmoja mmoja na aabudu chumbani kwake hakuna haja ya kukutana makanisani na kuabudu kwa pamoja!Mungu ni wa MTU mmoja mmoja sio WA kikundi cha watu
Kama ni hivyo, kila mmoja mmoja na aabudu chumbani kwake hakuna haja ya kukutana makanisani na kuabudu kwa pamoja!
Lazima ujue, kanisa ni mwili wa Kristo! Na sisi hao mmoja mmoja unaosema tu viungo wake!!
Kama kiungo kimoja kinazingua basi mwili mzima hauwezi kuwa na afya!
Wanaenda kufanya nini? Ni ukweli usiopingika ibada ni maisha yako ya kila siku! Unajua kama kutoa sadaka ni ibada? Unajua kama kushukuru ni ibada? Unajua kama kusoma neno la Mungu ni ibada? Unajua kama kusali ni ibada? Kwahiyo nyie Kanisani mnaenda kufanya nini?Nani aliyekuambia Watu Kanisani wanaenda kuabudu?
Kama unao huu wimbo nauomba ndugu yangu 🙏🏿Kishindo Cha wakoma-Njiro SDA choir
Mimi huwa naingia you tube direct...Kama unao huu wimbo nauomba ndugu yangu 🙏🏿
Awatafute pia Beroya Advent Mission Choir wimbo unaitwa jiwe.Imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu waebrania 4:9
Uwe na sabato njema
Nakushauri ingia YouTube kaisikilize nyimbo ya kirumba Adventist choir MBINGUNI HATUTAZEEKA, Usiku wako utakua murua sana na WA ajabu.