Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake.
Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe.
Basi baada ya miaka Saba ya ndoa watoto wa yule baba walikufa ghafla waliumwa kiajabu ajabu kwa kupishana wakafa wote
Yakatokea mafarakano na yule mwanamke wakaachana.
Akajaribu kumtafuta dada kwamba anamuomba mtoto wake tukamwambia dada akija apa tunamtia petrol na kiberiti
Saivi kaoa tena mke mwingine atajijua na safari ake.
So kwa single mom wote muachieni Mungu. Anafimbo yake special kwa wote waliowadhalilisha.