Niwatie moyo "single mothers"

Niwatie moyo "single mothers"

Endelea kupiga zumari ila tambua wanawake wengi mmejikuta mnaingia kwenye mkumbo wa kuomba mabaya kwa wanaume kisha hamkuolewa nao kwa mahusiano ya bahati mbaya. Ndoa ni safari haitokei ghafla tu kisa tu unajua kuzaa basi unaolewa.

Wanaume hawaio wanaojua kuzaa tu, kuna ziada mbali na kuzaa. Mbuzi nao wanazaa vilevile nao waolewe kisa tu wanajua kuzaa kama wewe.

Jengeni mahusiano yenye kuwapeleka kwenye ndoa, msijenge mahusiano ya kimalaya kisha mkayalazimisha kuwa ndoa hata mkifanikiwa kuolewa HAMTODUMU NDOANI.
[emoji120][emoji120]
 
Wanaume ndiyo wajenzi wa familia (ndoa) wao ndiyo wanajua waanza kujenga wapi ndoa na mtu yupi sahihi kwa ajili ya kujenga ndoa hiyo.

Acheni kudandia kila mwanamume mkijua ni muoaji, kwa sasa mnaishi maisha yanayowafanya muone wanaume kama miungu watu kwenu.
Kumbe hata uelewa wa ndoa huna na hujawahi funga hata ndoa kaa pembeni inapozungumziwa ndoa aliyekudanganya ndoa inajengwa na mwanaume kakosea Ndoa inajengwa na wawili na maanisha mke na Mume.
 
We jobless una mambo gani personal andika hapa
Jobless limekuwa tusi! Unaona namna ambavyo akili yako imekaa hovyo.

Huu ni mwaka wa 25 mimi ni jobless na sina mbele wala nyuma na maisha yangu ni kitendawili kikubwa sana.

Una kazi yoyote unipe hata kuzalisha masingle mama?
 
Kumbe hata uelewa wa ndoa huna na hujawahi funga hata ndoa kaa pembeni inapozungumziwa ndoa aliyekudanganya ndoa inajengwa na mwanaume kakosea Ndoa inajengwa na wawili na maanisha mke na Mume.
Nyie siku zote bado mtaendelea kuwa watumwa wa wanaume linapokuja suala la kuolewa, hauna ubavu wa kuoa ila utakaa na usubiri kuolewa na huyo mwanamume ambaye atakuona unafaa katika mia.
 
Jobless limekuwa tusi! Unaona namna ambavyo akili yako imekaa hovyo.

Huu ni mwaka wa 25 mimi ni jobless na sina mbele wala nyuma na maisha yangu ni kitendawili kikubwa sana.

Una kazi yoyote unipe hata kuzalisha masingle mama?
Pole mkuu
 
Nyie kwenye hiyo jumla mimi nitoe
 
Jobless limekuwa tusi! Unaona namna ambavyo akili yako imekaa hovyo.

Huu ni mwaka wa 25 mimi ni jobless na sina mbele wala nyuma na maisha yangu ni kitendawili kikubwa sana.

Una kazi yoyote unipe hata kuzalisha masingle mama?
Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaida
I can feel your pain huna kazi afu tunakulaani kwa kuzalisha mwanamke.
Yaani ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo ulaaniwe mpaka pumzi unayovuta. na mzigo wa mbao za mawe uwe juu yako
 
Jamanii madam image mtu jobless kisha anatembea na laana ya Single mamaz aliowatelekeza mtaani unadhani atakuwa na lugha nzuri .
 
Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaida
I can feel your pain huna kazi afu tunakulaani kwa kuzalisha mwanamke.
Yaani ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo ulaaniwe mpaka pumzi unayovuta. na mzigo wa mbao za mawe uwe juu yako
😁😁😁Hii comment yako imenichekesha mno eti mzigo wa mbao uwe juu yako😬
 
Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaida
I can feel your pain huna kazi afu tunakulaani kwa kuzalisha mwanamke.
Yaani ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo ulaaniwe mpaka pumzi unayovuta. na mzigo wa mbao za mawe uwe juu yako
Kazi sina, sina maisha yoyote wala sijui kula kwangu kwa siku ya leo itakuwaje ninaishi kwa nguvu za Mungu tu hapa duniani.

Sina uwezo hata wa kupata bao moja kuzalisha single mama na nikawakimbia baada ya kuwapa mimba.

Kifupi ni HOHEHAHE
 
Baada ya kutoka level hii uwe kichaa kabisa
 
Back
Top Bottom