Niwatie moyo "single mothers"

Niwatie moyo "single mothers"

Mbona umepaniki mkuu kitendo cha huyo mwamba unayemsifia kutelekeza damu yake isiyokuwa na hatia unaona ni sawa unafahamu changamoto alizopitia huyo Mwanamke mpaka akajifungua salama bila saport ya baba kuna wengine adui huwa wanamuombea njaa
Kwani huyo mkewe alijifungua watoto wawili na wakafariki hakupata changamoto wakati anajifungua?

Adui wa mwanamke ni mwanamke
 
Huyo alikuwa anatembea na laana Mungu kaamua amlipizie kwa staili hiyo na bado mpaka atubu
 
Umeona ee na Mungu aendelee kumlaani adi mwisho maana nakumbuka dada angu alikua kama kichaa mzee wangu ndo usiseme aliumwa pressure adi kidogo afe acha Mungu aendelee kumchapa
 
Hakuna laana yoyote hapo acha kuamini kwenye vitu vya ajabu. Wote waliofiwa watoto wamezalisha na kuwaacha watoto wao?

Acheni kujiweka kwenye makundi ya wahitaji huruma, usingle mama usiwe tiketi ya kuhurumiwa na kufurahia matatizo.
 
Aisee poleni sana kumtetea mharifu hakumfanyi mharifu huyo awe mtakatifu
Cc.Mbao za mawe
 
Hakuna laana yoyote hapo acha kuamini kwenye vitu vya ajabu. Wote waliofiwa watoto wamezalisha na kuwaacha watoto wao?

Acheni kujiweka kwenye makundi ya wahitaji huruma, usingle mama usiwe tiketi ya kuhurumiwa na kufurahia matatizo.
Hata wewe una amini vitu vya ajabu kwa sababu umepaniki kumjibu mtoa mada.kilichomrudisha huyo mwamba nini baada ya watoto wake kufariki nadhani nafsi inamsuta anaona kuna dhambi alitenda acha kutetea ujinga
 
Hakuna laana yoyote hapo acha kuamini kwenye vitu vya ajabu. Wote waliofiwa watoto wamezalisha na kuwaacha watoto wao?

Acheni kujiweka kwenye makundi ya wahitaji huruma, usingle mama usiwe tiketi ya kuhurumiwa na kufurahia matatizo.
Yakiwakuta wanawake wamejitakia wanamdomo ila yakiwakuta nyie ni kawaida Ile ni laana na itamtafuna adi mifupa
 
Simtetei mtu yeyote hapa ila kitendo cha huyu kufurahia vifo vya hao watoto kuna siku kitakuwa mwiba kwake.
Hata mimi sifurahii hivyo vifo ila kitendo cha kumtetea huyo mwamba unaonesha ni kiasi gani umewahi kukataa mimba ndio maana unaona jambo la kawaida
 
Yakiwakuta wanawake wamejitakia wanamdomo ila yakiwakuta nyie ni kawaida Ile ni laana na itamtafuna adi mifupa
Ni sawa na laana ya kuzalishwa mkiwa nyumbani itakavyoendelea kuwatafuna. Maji yamefuata mkondo yawezekana Bibi yako alizalia nyumbani, Mama akazalia nyumbani na nyie mmerithi na mnaendelea kudumisha mila zenu za kuzalia nyumbani.
 
Back
Top Bottom