[emoji120][emoji120]Endelea kupiga zumari ila tambua wanawake wengi mmejikuta mnaingia kwenye mkumbo wa kuomba mabaya kwa wanaume kisha hamkuolewa nao kwa mahusiano ya bahati mbaya. Ndoa ni safari haitokei ghafla tu kisa tu unajua kuzaa basi unaolewa.
Wanaume hawaio wanaojua kuzaa tu, kuna ziada mbali na kuzaa. Mbuzi nao wanazaa vilevile nao waolewe kisa tu wanajua kuzaa kama wewe.
Jengeni mahusiano yenye kuwapeleka kwenye ndoa, msijenge mahusiano ya kimalaya kisha mkayalazimisha kuwa ndoa hata mkifanikiwa kuolewa HAMTODUMU NDOANI.
Kumbe hata uelewa wa ndoa huna na hujawahi funga hata ndoa kaa pembeni inapozungumziwa ndoa aliyekudanganya ndoa inajengwa na mwanaume kakosea Ndoa inajengwa na wawili na maanisha mke na Mume.Wanaume ndiyo wajenzi wa familia (ndoa) wao ndiyo wanajua waanza kujenga wapi ndoa na mtu yupi sahihi kwa ajili ya kujenga ndoa hiyo.
Acheni kudandia kila mwanamume mkijua ni muoaji, kwa sasa mnaishi maisha yanayowafanya muone wanaume kama miungu watu kwenu.
Jobless limekuwa tusi! Unaona namna ambavyo akili yako imekaa hovyo.We jobless una mambo gani personal andika hapa
Nyie siku zote bado mtaendelea kuwa watumwa wa wanaume linapokuja suala la kuolewa, hauna ubavu wa kuoa ila utakaa na usubiri kuolewa na huyo mwanamume ambaye atakuona unafaa katika mia.Kumbe hata uelewa wa ndoa huna na hujawahi funga hata ndoa kaa pembeni inapozungumziwa ndoa aliyekudanganya ndoa inajengwa na mwanaume kakosea Ndoa inajengwa na wawili na maanisha mke na Mume.
Pole mkuuJobless limekuwa tusi! Unaona namna ambavyo akili yako imekaa hovyo.
Huu ni mwaka wa 25 mimi ni jobless na sina mbele wala nyuma na maisha yangu ni kitendawili kikubwa sana.
Una kazi yoyote unipe hata kuzalisha masingle mama?
Nyie kwenye hiyo jumla mimi nitoeNyie siku zote bado mtaendelea kuwa watumwa wa wanaume linapokuja suala la kuolewa, hauna ubavu wa kuoa ila utakaa na usubiri kuolewa na huyo mwanamume ambaye atakuona unafaa katika mia.
Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaidaJobless limekuwa tusi! Unaona namna ambavyo akili yako imekaa hovyo.
Huu ni mwaka wa 25 mimi ni jobless na sina mbele wala nyuma na maisha yangu ni kitendawili kikubwa sana.
Una kazi yoyote unipe hata kuzalisha masingle mama?
Sihitaji kuonewa huruma wala kidogo inaonekana umesema kuhusu kuwa jobless ukidhani utaumiza moyo wangu kumbe sivyo.Pole mkuu
Wote mnakaa kwenye kapu moja ni samaki waozao taratibu kwa kuambukizana uozo.Nyie kwenye hiyo jumla mimi nitoe
Jamanii madam image mtu jobless kisha anatembea na laana ya Single mamaz aliowatelekeza mtaani unadhani atakuwa na lugha nzuri .Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaida
I can feel your pain huna kazi afu tunakulaani kwa kuzalisha mwanamke.
Yaani ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo ulaaniwe mpaka pumzi unayovuta. na mzigo wa mbao za mawe uwe juu yako
ππmkuu tuingie sote kwenye hilo kapuWote mnakaa kwenye kapu moja ni samaki waozao taratibu kwa kuambukizana uozo.
Sibadiliki kwa kuchekeshwa. Kaa na mumeo mchekeshe uendelee kuvuna matunda ya ndoa yako.[emoji3][emoji3]mkuu tuingie sote kwenye hilo kapu
Tena uyu yupo level ya kua kichaa kabisaJamanii madam image mtu jobless kisha anatembea na laana ya Single mamaz aliowatelekeza mtaani unadhani atakuwa na lugha nzuri .
πππHii comment yako imenichekesha mno eti mzigo wa mbao uwe juu yakoπ¬Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaida
I can feel your pain huna kazi afu tunakulaani kwa kuzalisha mwanamke.
Yaani ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo ulaaniwe mpaka pumzi unayovuta. na mzigo wa mbao za mawe uwe juu yako
Matunda tayari mkuu mwezi wa kumi natarajia ka baby kangu inshaalahSibadiliki kwa kuchekeshwa. Kaa na mumeo mchekeshe uendelee kuvuna matunda ya ndoa yako.
Kabisa jina lake limedetermine laana ake[emoji16][emoji16][emoji16]Hii comment yako imenichekesha mno eti mzigo wa mbao uwe juu yako[emoji51]
π¬πππNani anataka kuzijua mbao za mawe mwishowe zitudondokee tufe.
Mi nazijua mbao za miti inatosha.
Tulia wewe kuhani wa makahaba, maisha yako ya shida yasikupe tumaini kuwa kila mmoja anaishi maisha sawa na yako.Tena uyu yupo level ya kua kichaa kabisa
Mungu asimcheleweshe amlaani jumla
Kazi sina, sina maisha yoyote wala sijui kula kwangu kwa siku ya leo itakuwaje ninaishi kwa nguvu za Mungu tu hapa duniani.Kumbe hata kazi huna ndo maana unateseka sana na hasira zako sio za kawaida
I can feel your pain huna kazi afu tunakulaani kwa kuzalisha mwanamke.
Yaani ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo ulaaniwe mpaka pumzi unayovuta. na mzigo wa mbao za mawe uwe juu yako
Baada ya kutoka level hii uwe kichaa kabisaKazi sina, sina maisha yoyote wala sijui kula kwangu kwa siku ya leo itakuwaje ninaishi kwa nguvu za Mungu tu hapa duniani.
Sina uwezo hata wa kupata bao moja kuzalisha single mama na nikawakimbia baada ya kuwapa mimba.
Kifupi ni HOHEHAHE